Serikali kuifutia leseni Kampuni ya Simu ya Yussuf Manji

Hii serikali ya awamu ya 5 ukitaka kufanya biashara fuata masharti. Manji alishafanya mazoea na uongozi uliopita ni lazima makampuni yake yabadilke yafuate masharti.
Aanze tena kwenda BRELA kusajili kampuni zake vinginevyo nafuu kwake haitapatikana
 
Hii serikali ya awamu ya 5 ukitaka kufanya biashara fuata masharti. Manji alishafanya mazoea na uongozi uliopita ni lazima makampuni yake yabadilke yafuate masharti.

Wakandarasi waliojenga barabara ya Morocco Mwenge
Unasemaj wewe TTCL dada yake na TBC nani anataka

Si mnataka Azimio la Arusha lirejee!

Unahamu ya Bikra Ila huna hamu ya kuona damu?
 
Inakuwaje huyu jamaa kila kitu chake ni magumashi?

Ndio Mgawanyo, Wenzio kila kitu kizuri ni chao na Wewe kila Tatizo na Wewe

Wewe Labda ni Kama Remmy Ongal alivyoimba , Matatizo na Wewe,misukosuko na Wewe , bahati mbaya na Wewe, mikosi na Wewe, Majanga na weweee!
 
Ajitathimini upya halafu achukue hatua otherwise hatapata nafuu kwa yanayomzunguka
 
Pambana na hali yako mkuu???
Bakhresa hadi lamba lamba yake..
Regnald Mengi dawa za mswaki unazopigia wewe ni zake...
TAFTA NA WEWE ZAKO MKUU
ROHO YA KWANINI
HAIFAI[emoji1321]
Hakuna cha roho ya kwanini. Kila kitu chake ni ujanja sana ninaushahidi kuhusu kiwanja cha kigamboni miongoni mwa wenye mgogoro naye namfahamu,kwa hivyo arudi aache kurubuni watu

Kwani mwenye fedha ni yeye tu hapa Tz?acha mahaba
 
Hii serikali ya awamu ya 5 ukitaka kufanya biashara fuata masharti. Manji alishafanya mazoea na uongozi uliopita ni lazima makampuni yake yabadilke yafuate masharti.
ACACIA kwa mujibu wa JPM haijasajiliwa!Mbona wameingia mazungumzo????Huyu Manji ni chuki binafsi na visasi!
 
Back
Top Bottom