kwa dhuluma kesi zikiisha lazima avae gwanda!Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?
Anyway,madaraka yana mwisho.
Eti waislamu.... amuombe radhi magufuli kwani waislamu ndo wenye hii nchi au ndo wenye serikalimanji awaombe msamaha waislamu la sivyo atakuwa apache alolo
Eti waislamu.... amuombe radhi magufuli kwani waislamu ndo wenye hii nchi au ndo wenye serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha dua wala nini...!!? Hii ni vita ya wao kwa wao tu hapa,.magufuli akiamua kumpotezea yaishe yanaisha wala sio sababu ya msingi eti dua tajiri unamuombea dua hehehehAwaombe radhi waislamu waliomuombea dua mbaya kama vile watu Wa Kibaha na Mvomero walivyomuombea dua mbaya Sumaye. Mrema yeye ilibidi awaombe radhi, angalau rasha rasha imemfikia.
Aliwakosea nini waislamu,?Awaombe radhi waislamu waliomuombea dua mbaya kama vile watu Wa Kibaha na Mvomero walivyomuombea dua mbaya Sumaye. Mrema yeye ilibidi awaombe radhi, angalau rasha rasha imemfikia.
TIGOHiyo kampuni ni ipi?
Unamlinganisha Manji na Bill gates?Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?
Watakaopoteza ajira wakale wapi?
Anyway,madaraka yana mwisho.
Kama hutaki vita usifanye magumashiIla kama ni vita 'baina ya watu' haikubaliki na tusishangilie hili hata kdg, tutakuja kuwa taifa lililofitinika.
Kwa hiyo mlitaka aachwe?kisa ni mwanaCCM?Visasi vinaendelea.