Serikali kufungua soko la madini ya Dhahabu Geita

Naona nyumbani kumenoga. Vp bwana mkubwa siku hizi hata kuzindua anaogopa anaona amwachie pm. Ule uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato utazinduliwa na kukabidhiwa lini maana ni muda sasa tangu ukamilike.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tarehe 14/03/2019 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atazindua Soko la Madini ya Dhahabu Mkoani Geita, uzinduzi huo utafanyika katika Soko Kuu la Mjini Geita kuanzia majira ya saa mbili asubuhi.
Hilo soko litumike kununua dhahabu toka Kongo pia . Wafanyabiashara wazawa changamkieni hiyo fursa kabebeni dhahabu Kongo leteni kwenye hilo soko .Fursa hiyo.Uganda wana hayo masoko wakilenga dhahabu ya Tanzania na Kongo.Changamkeni au wafanyabiashara wadogo changamkieni kachukieni dhahabu Kongo changanyeni na ya kwenu pelekeni sokoni chap chap.Wizara ya mambo ya Ndani legezeni misharti yenu ya kutoa passport vijana waanze kusambaa kufuata dhahabu Kongo kuleta kwenye masoko ambayo wanunuzi wataifuata.Huo ujinga wenu wa kusema sijui mtu awe na barua ya mwaliko anakoenda ni upuuzi .kama ana kitambulisho cha taifa inatosha wapeni ma passport waingie Kongo .Mtu kwenda kutafuta fursa hahitaji mwaliko wala kadi ya mwaliko wa mtu sio kitchen party au harusi hiyo! .Vijana wengi ajira hawana haya masoko yaweza toa ajira kwa vijana wengi sio wachimbaji tu.Kitengo cha passport wake up.
 
Kwa hiyo na wale wa Chunya, Mpanda, na Songea itabidi wasafiri mpaka Geita?

Soko lilistahili kuzingatia urahisi wa kufikika na wauzaji na wanunuzi, usalama wa wauzaji na wanunuzi, sehemu za malazi zenye uhakika. Vyote hivyo vina walakini sana kwenye mkoa huu mpya wa Geita ambao juzi tu ulikuwa Wilaya.
 
Kwa hiyo na wale wa Chunya, Mpanda, na Songea itabidi wasafiri mpaka Geita?

Soko lilistahili kuzingatia urahisi wa kufikika na wauzaji na wanunuzi, usalama wa wauzaji na wanunuzi, sehemu za malazi zenye uhakika. Vyote hivyo vina walakini sana kwenye mkoa huu mpya wa Geita ambao juzi tu ulikuwa Wilaya.
Kiwango cha dhahabu chunya kinachozalishwa huko waweza linganisha na geita? Chunya dhahabu kiwango chake kidogo mno .
 
Ngoja nipeleke madini yangu niyatoe Congo Uku najua litakuwa ni soko la uhakika
Kwenye hili serikali ijipange kuhakikisha mambo yafuatayo la kwanza passport zipatikane kirahisi la pili watanzania wasibugundhiwe wakienda kongo na wakirudi mipakani na dhahabu zao hasa upande wa Tanzania.
 
Hilo soko litumike kununua dhahabu toka Kongo pia . Wafanyabiashara wazawa changamkieni hiyo fursa kabebeni dhahabu Kongo leteni kwenye hilo soko .Fursa hiyo.Uganda wana hayo masoko wakilenga dhahabu ya Tanzania na Kongo.Changamkeni au wafanyabiashara wadogo changamkieni kachukieni dhahabu Kongo changanyeni na ya kwenu pelekeni sokoni chap chap.Wizara ya mambo ya Ndani legezeni misharti yenu ya kutoa passport vijana waanze kusambaa kufuata dhahabu Kongo kuleta kwenye masoko ambayo wanunuzi wataifuata.Huo ujinga wenu wa kusema sijui mtu awe na barua ya mwaliko anakoenda ni upuuzi .kama ana kitambulisho cha taifa inatosha wapeni ma passport waingie Kongo .Mtu kwenda kutafuta fursa hahitaji mwaliko wala kadi ya mwaliko ya mtu sio kitchen party au harusi hiyo! .Vijana wengi ajira hawana haya masoko yaweza toa ajira kwa vijana wengi sio wachimbaji tu.Kitengo cha passport wake up.
Leo umeandika kitu kizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom