Serikali kubali makosa acheni unafiki na ubishi kwa Lissu

Yaani serikali yetu inatakiwa kuangalia manufaa ya nchi kwa ujumla kwenye swala hili la Lissu kupigwa risasi.
1. Serikali imefanya makosa makubwa kwa wafanyakazi wake kujihusisha na shughuli za kigaidi hivi
2. Kuna Wafanyakazi wengi wa serikali ambao hawana hatia lakini wanaonekana kama wana support hizi njama.

Yaani mabalozi wetu waanze kufanya kazi ya kutetea swala ambalo lipo wazi wazi ni kuwavunjia heshma yao na ya nchi yetu. Tumekuwa na wafanyakazi wa serikalini wanaonekana kana watoto au wajinga kutetea swala hili ambalo haliwezi kabisa kulitetea kwa mtu mwenye akili timamu.

Maendeleo ya nchi kama kununua ndege, maji , madawati, kujenga zaanati na trini hazina uhusiano wowote na mwanasiasa kupigwa risasi. Hivyo wanaosema eti ukiongelea issue ya Lissu uongelea miradi wanakosea maana haya mambo ni tofauti.

Serikali kama kweli hili swala sio ustaarabu wetu basi tukubali makosa, ombeni msamaha kwa Watanzania, wahusika washitakiwe, Lissu apewe settlement zake zote za maumivu na nchi yetu iendelee na maendeleo. Bila hivyo hili swala litakaa kwa miaka na miaka na ku cost sana
Cc. Balozi Masilingi. Kidogo alie mana maswali hayajibiki, anajing'atangata tu. Anaonekana mjinga kutetea ujinga
 
Kosa la papa mkubwa,hawezi kukiri kwa by nature ana inferiority complex ni dhaifu sana. Sifa kubwa ya mtu asiejiamini ni muoga na muongo( he can't stand always right) he is weak. Hamuoni akifanya mwingine reaction anazochukua that seeks popularity from lumpen people and deadly praising? Ts easy to read him than understanding him
And he is always unhappy trying to neutralize his worries and scary life by doing every event live on tv and distributing some petty cash in public.

That is the only non-helping obsession for the wicked
 
Mkuu Chakaza Iran imekiri kuitungua ndege ya Ukraine baada ya kukanusha kwa siku nne mfululizo.....

Sioni sababu kwa nini serikali hii ya Sisiem, isikubali yaishe kwa kukiri hadharani kuwa "wao" ndiyo waliohusika na shambulio lile baya kabisa, la kutaka kutoa roho yake Tundu Lissu

Kukiri makosa yako siyo udhaifu bali ni ujasiri
Iran waliitungua kimakosa, Lissu alitandikwa intemtionally ili asimpinge Magu 2020.

Sasa watapambana hayawi hayawi sasa yamekuwa 2020 hii hapa.
 
Wengi hatukujua uwezo wake mzuri wa ufahamu wa mambo hadi sasa ambapo ameweza kuitumia 'platform' hii kuuonyesha bayana.

Ni jambo la kustaajabisha kidogo, kwa mtu aliyenusurika kifo kubaki 'stable' kiasi kile bila ya kuonyesha alama za uchungu na msongo mkubwa wa mawazo. Tukio lililompata amelichukuwa na kulifanya kama ni historia iliyobakia kuifanyia kazi ili isiendelee kutokea kwa wengine.

Magufuli atakapoamua kushughulika na yale mazuri tunayoyapenda sote, na kuyaacha yanayoleta simanzi kwenye taifa, bila shaka na yeye ataona kuwa kuna waTanzania wengi kama Mh. Tundu Lissu wanaoitakia mema Tanzania yetu na kila mmoja wetu anao mchango wa kuliendeleza taifa hili.

Hii haiwezi ikawa ni kazi ya mtu mmoja au kikundi fulani ndani ya CCM pekee.

Tuache kuwekeana lebo za 'uzalendo' au 'usaliti' kwa kutokubaliana tu katika baadhi ya mambo au utekelezaji wake na kufikia hatua za kuumizana kwa njia zozote ziwezekanazo.

Zipo sheria na taratibu tulizojiwekea katika usuluhisho wa mambo ambayo yanahatarisha taifa letu. Tuzitumie kikamilifu inapobidi kufanya hivyo.

Tanzania itaendelea kwa haraka zaidi kama tutatanguliza haki mbele ya yote.
Nafikiri hii inaweza kuwa komenti bora kabisa kwa wikii hii inayoisha.
 
January 9, 2020
CCM NA MCHEZO MCHAFU WA HATARI KUVURUGA MKONDO WA DEMOKRASIA HURU
Mkono wa serikali ya CCM ktk kuleta sintofahamu unaonekana kila mahala, mfano jaribio la kumngoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Tanzania mstahiki Meya Isaya Mwita Charles ambaye ni diwani wa Vijibweni. Tunaelekea uchaguzi wa 2020 wananchi wanatambua na siyo wajinga wamebaini kitambo CCM hawana ushawishi bali CCM ni waanzisha vurugu halafu wanaita vyombo vya dola kuudhibiti upinzani ili CCM wanganganie kubaki madarakani bila ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la uchaguzi

Source: Cloudsmedia
 
Mbunge wa CHADEMA Mh. Saeed Kubenea aelezea A - Z ya sakata la Meya wa jiji la Dar es Salaam. Kubenea aanika michezo michafu ya CCM isiyokubalika katika kuvuruga demokrasia na tukio la jaribio la kumgoa meya wa jiji la Dar es Salaam ni case study nzuri ya kuianika na kuiabisha chama kongwe cha CCM inavyoshirikisha viongozi wake wa juu kuwanyima watanzania wawakilishi waliowachagua kidemokrasia

Naona jamaa wa usalama mnataka kubadilisha topic hamjui hii ni kwa manufaa ya Tanzania. Fungukeni macho tunawajuwa wote hapa😂 webmaster angalia hawa watu waliopandikizwa kuja kuaribu topic wakijifanya ni wana mtandao. Hamtaweza wala kufaniliwa kuzuia uhuru wa Watanzania. Ni utamaduni wetu
 
Muda unakuja kuna siku watu watapigwa mvua tu. Aliyekuwa dikteta wa Chile Augusto Pinochet aliburuzwa mahakamani zaidi ya miaka 20 baada ya kung'atuliwa madarakani kwa uovu aliyotenda alipokuwa rais.

Hivyo kwa kuwa matukio mengi hapa duniani yana "Precedent", hakuna kinachozuia historia isijirudie hata hapa Tanzania.

Walioko madarakani leo wakae wakijua kuwa, the situation won't stay the same always. There is a time when they will have to stand trial for the atrocities they committed to the now defenseless people of this country.
Hayo yatatokea wakiwa wameshakufa, mtafunga maiti?
 
..anaweza kupatikana Raisi mwana ccm ambaye hayuko tayari kuliliwa na DAMU za wahanga wa awamu ya 5.

..Miujiza iliyomuokoa TL inaweza pia kuwezesha waliopanga na waliomshambulia kujulikana, kukamatwa, na kushitakiwa.
 
Yaani serikali yetu inatakiwa kuangalia manufaa ya nchi kwa ujumla kwenye swala hili la Lissu kupigwa risasi.
1. Serikali imefanya makosa makubwa kwa wafanyakazi wake kujihusisha na shughuli za kigaidi hivi
2. Kuna Wafanyakazi wengi wa serikali ambao hawana hatia lakini wanaonekana kama wana support hizi njama.

Yaani mabalozi wetu waanze kufanya kazi ya kutetea swala ambalo lipo wazi wazi ni kuwavunjia heshma yao na ya nchi yetu. Tumekuwa na wafanyakazi wa serikalini wanaonekana kana watoto au wajinga kutetea swala hili ambalo haliwezi kabisa kulitetea kwa mtu mwenye akili timamu.

Maendeleo ya nchi kama kununua ndege, maji , madawati, kujenga zaanati na trini hazina uhusiano wowote na mwanasiasa kupigwa risasi. Hivyo wanaosema eti ukiongelea issue ya Lissu uongelea miradi wanakosea maana haya mambo ni tofauti.

Serikali kama kweli hili swala sio ustaarabu wetu basi tukubali makosa, ombeni msamaha kwa Watanzania, wahusika washitakiwe, Lissu apewe settlement zake zote za maumivu na nchi yetu iendelee na maendeleo. Bila hivyo hili swala litakaa kwa miaka na miaka na ku cost sana
Tuacheni kujitoa akili Watanzania tunamjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi IFP Simon Sirro alihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.

Kilichobaki kwa Simon Sirro ili aepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezie wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC naye kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hajatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watawataja tu na hamutakwepa kupelekwa ICC.
 
..anaweza kupatikana Raisi mwana ccm ambaye hayuko tayari kuliliwa na DAMU za wahanga wa awamu ya 5.

..Miujiza iliyomuokoa TL inaweza pia kuwezesha waliopanga na waliomshambulia kujulikana, kukamatwa, na kushitakiwa.
unasema kweli lakini, mungu mkubwa
 
Yaani serikali yetu inatakiwa kuangalia manufaa ya nchi kwa ujumla kwenye swala hili la Lissu kupigwa risasi.
1. Serikali imefanya makosa makubwa kwa wafanyakazi wake kujihusisha na shughuli za kigaidi hivi
2. Kuna Wafanyakazi wengi wa serikali ambao hawana hatia lakini wanaonekana kama wana support hizi njama.

Yaani mabalozi wetu waanze kufanya kazi ya kutetea swala ambalo lipo wazi wazi ni kuwavunjia heshma yao na ya nchi yetu. Tumekuwa na wafanyakazi wa serikalini wanaonekana kana watoto au wajinga kutetea swala hili ambalo haliwezi kabisa kulitetea kwa mtu mwenye akili timamu.

Maendeleo ya nchi kama kununua ndege, maji , madawati, kujenga zaanati na trini hazina uhusiano wowote na mwanasiasa kupigwa risasi. Hivyo wanaosema eti ukiongelea issue ya Lissu uongelea miradi wanakosea maana haya mambo ni tofauti.

Serikali kama kweli hili swala sio ustaarabu wetu basi tukubali makosa, ombeni msamaha kwa Watanzania, wahusika washitakiwe, Lissu apewe settlement zake zote za maumivu na nchi yetu iendelee na maendeleo. Bila hivyo hili swala litakaa kwa miaka na miaka na ku cost sana
1579516522142.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom