Serikali kubadili sheria ili inunue Dowans

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Serikali leo inaanza mchakato wa kubadilisha Sheria ya Manunuzi ya Umma, ili kuruhusu mazingira ya kununua bidhaa au mitambo iliyotumika, Mwananchi limebaini.

Yale yale ya neno 'Rasmi' kubadilishwa haraka haraka kwa masilahi ya kikundi fulani, of course it is a high time now we need a new constitution.
 
Back
Top Bottom