OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
kuleta source ya hii inf yako ni muhimu sana
kama ni kweli naomba serikali wawe wakweli tu mara zote hubadili noti na kuwa sarafu baada ya fedha yake kuporomoka dhamani ndivyo ilivyo hata sasa ukisema inamzungoko mkubwa si wana recycle
kuleta source ya hii inf yako ni muhimu sana
kama ni kweli naomba serikali wawe wakweli tu mara zote hubadili noti na kuwa sarafu baada ya fedha yake kuporomoka dhamani ndivyo ilivyo hata sasa ukisema inamzungoko mkubwa si wana recycle
jakaya amekasirika na analipiza kisasi mwaka 2010 si tulijfanya hatumpend sasa ndo tutamkoma..
lakini watanzania hatuna utaratibu mzuri wa kutunza noti!! sasa mtu anashika noti mikono mibichi au masizi ya mkaa wewe unategemea nini
Kutokana na umasikini wa watanzania mzunguko wa noti za sh. 500 ni mkubwa hivyo kuchakaa kwake hakuepukiki ni bora kuwa na sarafu badala ya noti.
Ndiyo Wakuu! Katika kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu,serikali kupitia gavana bank kuu ,Prof Ndulu inatarajia kuanzisha sarafu ya miatano .Amedai kuwa noti hizo zinachakaa sana kwa sababu mzunguko wake ni mkubwa. Je ule ubora uliokuwa unasemwa uko wapi wakati noti hizo zinatoka? Au ndo ni amini kuwa jamaa walisha kula cha kwao? Hivi ni lini serikali hii ita anzisha vitu endelevu? Tunahitaji tafukuri nzito kama Taifa kuelekea Tanzania tuitakayo. Source: Taarifa habar Cloudz
Hakuna serikali yoyote duniani inachapisha sarafu fulani kwa sababu ya uchakavu wa noti. Kigezo kimojawapo kinachofanya sarafu kubwa kuchapishwa ni uporomokaji wa uchumi wa nchi husika. Mfano miaka ya hadi 1985 noti ya juu Tz ilikuwa 100. kulikuwa na noti za sh. 5,10,20, 50.Ndiyo Wakuu! Katika kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu,serikali kupitia gavana bank kuu ,Prof Ndulu inatarajia kuanzisha sarafu ya miatano .Amedai kuwa noti hizo zinachakaa sana kwa sababu mzunguko wake ni mkubwa. Je ule ubora uliokuwa unasemwa uko wapi wakati noti hizo zinatoka? Au ndo ni amini kuwa jamaa walisha kula cha kwao? Hivi ni lini serikali hii ita anzisha vitu endelevu? Tunahitaji tafukuri nzito kama Taifa kuelekea Tanzania tuitakayo. Source: Taarifa habar Cloudz