comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Injinia Hamad Masauni amesema kuanzia tarehe 01/3/2018 serikali itaanza kukagua na kuhakiki ubora wa magari ya watu binafsi nchi nzima, ukaguzi na uhakiki huo utachukua muda wa miezi miwili.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar-esalaam Mh Masauni amesema serikali inataka kujiridhisha na ubora wa magari yanayotembea barabarani yale yatakayoonekana yana ubora yatawekewa stika maalumu kwa gharama ya sh 3000 kwa kila gari na kuruhusiwa kuendelea kuwa barabarani,aidha yale ambayo hayatakua na ubora wa kutembea barabarani yatazuiliwa.