pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,641
- 6,267
Ili kuongeza mapato serikali itaanza kuwatoza kodi washereheshaji pamoja na wapishi wa kwenye sherehe mbalimbali. Wale wabeba zege nao wajiandae tunataka kodi ikusanywe til 2 kwa mwezi ili tuweze kujitegemea kwa 100%. Kama una chanzo kingine unacho kifahamu ambacho siyo rasmi ijulishe serikali ili tuongeze mapato.