utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Habari za ndani kabisa ni kwamba baada ya Magufuli kuwabana ipasavyo mafisadi na wahujumu uchumi na kufanikiwa kukusanya mapato kupindukia hatua inayofuata ni kuwajali kuwaenzi kuwatunza na kuwaboreshea maisha wazee wasiojiweza pamoja na makundi maalumu kama vile vijana wasio na ajira,walemavu na nk.
Hatua hii inakuja wakati muafaka ili kila mtanzania afaidi keki ya taifa (kasungura)...na uhuru wa kweli.Tanzania yenye neema ile paleee
Hatua hii inakuja wakati muafaka ili kila mtanzania afaidi keki ya taifa (kasungura)...na uhuru wa kweli.Tanzania yenye neema ile paleee
Last edited by a moderator: