Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

kwa minajili hiyo ajira mpya za walimu wapya kwa mwaka huu wa 2015 zipo na zitatolewa lini au baada ya kumalizika kwa sherehe ya pasaka .
 
et wadau kwann walimu wa sayansi sec tusipewe mshahara juu kidogo coz tuna vipind ving zaid unakuta sc una 30 art ni 8. hii ni haki kwel
 
kigezi cha mshara ni level ya elimu na uzoefu hawaangalii idadi ya vipindi.

ukisema walimu wa science walipwe kwa kuwa wanavipind vingi haipo kumbuka kuna wale wa somo moja na wale wa masomo mawili hapo lazima mtofautiane tu vipindi. na hakuna mwalm wa vipindi nane hata siku moja
 
Kaka Bios/chem TP tu nilkua napga vipindi 32 tena Moro manispaa now nipo huku kijijini napga 35 bt navimudu kwa shida sanaa
 
kigezi cha mshara ni level ya elimu na uzoefu hawaangalii idadi ya vipindi.

ukisema walimu wa science walipwe kwa kuwa wanavipind vingi haipo kumbuka kuna wale wa somo moja na wale wa masomo mawili hapo lazima mtofautiane tu vipindi. na hakuna mwalm wa vipindi nane hata siku moja

Upo shule gani ndugu?. Huku kuna ticha wa History ana vipindi 3 kwa wiki single moja na double moja wapo walimu 4 wa HK
 
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda,amesema serikali imepanga mwaka huu kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

Ametoa kauli hiyo Jana (Alhamis) Tarehe 19 February 2015 wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya Sekondari Kiwere, tarafa ya Kalenga wilaya ya Iringa.

Alisema pia walimu hao watasambazwa kulingana na mahitaji ya maeneo husika Lengo ni kuhakikisha kuwa uhaba wa walimu unapungua kutokana na kufahamika kuwa baadhi ya maeneo kuna uhaba mkubwa wa walimu hasa vijijini.

N.B: Ondoeni wazo la kusema ajira hakuna.

Source: Radio One

Kwa maneno haya atakua amedanga,serikali (wizara) waliomba kibali cha kuajili hao walimu,ila Idara ya UTUMISHI,iliitaka wizira kuonesha walimu waliopo kwa masomo & vipindi na upungufu uliopo,baada ya wizara kufanya hivyo,imebaimika kuna,idadi kubwa ya walimu wa masomo ya SANAA (ARTS) wasiopungua elfu 20+ wamezidi na kuonekana walimu takriban 25+ wa masomo ya SAYANSI Wemepungua(wanahitajika),hivyo Idara ya utumishi imekusudia kutoa kibali cha kuajiri wa masomo ya SAYANSI TU.kwa maana hiyo hakuna ajira kwa walimu wa ARTS! Habari nimeipata kwa aliyopo wizarani.
 
Nadhani mmmmmmh
 
usiamni kila unachoambiwa, muda mwingine jaribu kuchekecha hilo bichwa lako we kiazi
 
Sawa,ila ukweli ndio huo,km nawe ni masomo ya kiswahili uje shuleni kwangu nikupe kazi ya kukata mau!

tatzo lako unadhani kila mtu ni mwl, punguza kukariri dogo! sijui hata huko shuleni unafundisha nini, kichwa cheupe kabsa
 
Kamshahara ka kwanza mfukoni hahahahaha kama najiona vile kwnye halimashauri flani
 
Back
Top Bottom