Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,234
“Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu clip ya video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha mgonjwa akibebwa ktk machela na kupelekwa hospitali na inaelezwa kuwa huo ndio utaratibu wa wilaya ya Kilolo, yani kwamba ktk eneo lile wagonjwa siku zote hubebwa ktk machela kupelekwa hospitali”-Amesema DC Nsemwa.
Soma Pia: Wananchi Kiwalamo Kilolo – Iringa wabeba wagonjwa kwa mikono kutokana na ubovu wa barabara
Soma Pia: Wananchi Kiwalamo Kilolo – Iringa wabeba wagonjwa kwa mikono kutokana na ubovu wa barabara