heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Pro-mfumo mbovu
.Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa.
Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili
Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha yake ijapokuwa upande wa serikali makucha yao yalikuwa hayachifichi vyema yalikuwa yanaoneka kwa wanachi wake hii ikapelekea kuamsha kisukari cha ukichaa kwa wananchi wake.
Kila mmoja kwa upande wake lazima akubaliane na ukweli bila kupepesa,ila kilichopo sasa ni kwamba upande wa serikali haikubaliani na ukweli kwamba wao ni serikali katili.
Ila inawasema wananchi kwamba ni vichaa kwamba wameandamana, wamechoma mali, wameharibu miundombinu, wameiba, wamedhuru wapiga kura na mengine mengi. Jibu ni ndio Wananchi ni vichaa kweli kweli na kisukari chao kipo juu haswa ni kwamba serikali ilikuwa haijui au ilikuwa inajuwa ikawapuuza wanachi wake hasira zao zipo vipi?
Kila kiumbe kina style yake ya kuzisatsfy hasira zake wapo wanaolia, wapo wanaoharibu vitu ili hasira zao ziridhike,wapo wanaosusa, wapo wanaoua au kupiga ukuta au chochote ilimradi hasira ziridhike.
Wananchi vichaa wakiusema upande wa serikali katili hapo hapo serikali inachukia na kuwadhibiti hao wanaoisema,wananchi wamekubali kwamba wao wamefanya ukichaa ila serikali haitaki hata kusikia wala kuona mtu akisambaza ukatili wao walioufanya ila hapo hapo serikali ipo inasambaza uharibifu uliofanyika bila kutaka wala kujutia uhalifu na ukatili walioufanya kwa raia wake.
Kwa Ufupi wananchi hawana uzoefu na maandamano ila serikali ina wataalam na mbinu nyingi za kusimamia na kumanage maandamano kwa usahihi bila kuleta madhara makubwa ni aibu serikali kutumia njia moja wapo tena ya mwisho kabisa kudeal na haya maandamano ambayo ni kuua kila alieopo mbele na kufika stage adi waliokuwapo majumbani na kuwapa kesi za Uhaini wale wote waliokamatwa haijalishi walikamatwa kwa bahati mbaya au lah?
Laizma tufike mahali kila mmoja kwa upande wake akubali alichokifanya kwamba hakukifanya kwa usahihi japo nia zilikuwa njema tu.Japokuwa pande zote zimetuma ujumbe clear kwamba hakuna mnyonge .
Wananchi waliamua ukichaa serikali isiyojali ikaamua ukatili, kuua raia asie na silaha ya hatari au asiye na silaha kabisa ni ukatili na uhalifu na si utu kabisa.
Kuchoma mali na kufanya uharibifu mass destruction pia sio jambo la ubinadamu
Serikali lazima ijitafakari kwanini wananchi wake wamekuwa hivi,uchaguzi wameitisha ila asilimia kubwa ulikuwa wa kiini macho wapiga kura walikuwa wachache ila ushindi ukawa mkubwa
Na wanajuwa dhahiri wamepika matokeo inajulikana toka ngazi ya juu hadi ngazi za chini kwamba matokeo yamepikwa na wameshiriki katika upikaji. Iloo sio suala baya kama kila kitu unamiliki wewe huwezi kuwa mnafiki lazima ujipendelee kwa hili la asilima 98 sipingani nalo serikali imetoa unafiki, kila kitu wanacho kwanini wasipate asilimia hizo.
Serikali katili imepimana nguvu na wananchi vichaa, pande zote zimepata hasara ila kwanini serikali ndo iombe maridhiano? Sidhani kama kichaa ataweza tuliza kisukari chake kirahisi namna hiyo.
Katika kila nchi wapo watu wapo tayari kufa kwa ajili ya wenzao yani wao wapo tayari tu haijalishi ni maskini au ni tajiri linapokuja suala la kufa kwa ajili ya kutetea nchi yake ye yupo tayari either consciousness or unconscious, bila ivyo hii nchi isingekuwa na jeshi. Serikali ikiamua kukaza fuvu itaua raia wake wengi na bado hawatokuwa wametibu tatizo.
Hadi dakika hii serikali haijakubali kwamba polisi wake na kikundi haramu kutoka zanzibar kwamba kimefanya mauaji ya halaiki ilihali usibitisho upo, utekaji pia japo halina usibitisho wa moja kwa moja.
Sitaki kuamini kwamba serikali haikuwa na njia ingine rahisi ya kudhibiti maandamano,wanajeshi walikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa wananchi na walisikilizwa kwanini isingetumika mbinu ndogo tu ya saikolojia pamoja na mbinu zingine za kukamata waliokuwa wanafanya uhalifu.
Mwsho. Serikali lazima iwajibike kwa uhalifu na ukatili walioufanya kwa raia wake kama ilivyo kwa wanachi watawajibika kwa kulipa kodi na makato kufidia uharibifu walioufanya *× pande zote mbili zimetumia njia ngumu lazima ziwajibike alafu ndo yaje hayo maridhiano