mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Serikali iliyoko madarakani iwape wananchi kuhusu yanayoendelea kisiasa na michezo, hasa mpira wa miguu.
1) Lissu anashitakiwa na wanachi wahudhuria mahakamani kusikiliza kesi wanapigwa na Polisi
2) Mdude anakamatwa nyumbani kwake na hajulikani alipo kama bado yuko hai
3) Padri Kitima anapigwa eneo la makazi na ofisi yake ya kazi, lakini Polisi wanasema alikuwa kwenye kinywaji
4) Mechi ya tarehe 8/3/2025 inaahirishwa pasipo kushirikisha timu mwenyeji na inapangwa tena kwa staili hiyo hiyo