Kwani zinawahusu nini mtu anacheza pesa yake kwa jasho lake inakuhusu nini wewe?Sio kweli mkuu,kuhusu kluger it's ok,mchina hupakua tsh 400,000-800,000 (kete 2000-4000+ kete 1@200 tsh) kila baada ya 2days kwa slot machine/bonanza moja,jamaa wanaua nguvu kazi ya taifa katika kiwango cha 100% huku wao na mataifa yao wakineemeka.
Vijana now hawalimi,wamekua na rottery mind,wakifanya mishe za kutwa jioni wanaenda kukabizi pesa yote kwa kamari za mchina..too bad