YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Vyuo vya ufundi stadi vya wachina ni vizuri mno kwa hufundisha uundaji na utengenezaji wa vitu.Tanzania ya Viwanda inawezekana kwa kuandaa watu wetu watakaosoma kwenye vyuo vinavyofundisha utengenezaji wa vitu.Wachina sio wachoyo kwa teknolojia kama yalivyo mataifa ya magharibi au wahindi.
Wachina wakianzisha vyuo vyao hapa Tanzania wajuzi wa kuunda vitu watakuwa wengi na wenye uwezo wa jkuanzisha viwanda vyao vidogo vya kuunda na kuzalisha vitu vya viwandani.
Vyuo vya VETA vilivyopo havijaweza kutoa wataalamu wa kuunda vitu na kuvizalisha kiviwanda.Mtu akimaliza vyuo vya ufundi stadi China anakuwa na uwezo wa kuunda vitu na kuvizalisha