mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 576
Chapa kazi Mkuu,miaka haifanani huu ni mwaka wa El Nino pesa nyingi Iko kwenye miradi ya emergency na maintenanceHabarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Hali mbaya ,si unaonaHabarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
ila Mwigulu unapenda Sana kutudanganya.Chapa kazi Mkuu,miaka haifanani huu ni mwaka wa El Nino pesa nyingi Iko kwenye miradi ya emergency na maintenance
Kivipi? Mwigulu ndio aliwalipa Madeni yoote yaliyokuwa yamewalemea awamu ya 5ila Mwigulu unapenda Sana kutudanganya.
Hakuna mwaka wakandarasi hawajawahi idai Serikali Kwa hiyo hakuna habari Mpya hapa.Kweli serikali jaina prsa inadaiwa makandalasi wengi sana kila mradi wanadaiwaaa.....hali mbaya sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KWA HIYO AJIIBIE MWENYEWEChukua nondo kauze upate Hela ya sikukuu [emoji23]
Kazi tunachapa ila hii serikali inatuangusha sanaChapa kazi Mkuu,miaka haifanani huu ni mwaka wa El Nino pesa nyingi Iko kwenye miradi ya emergency na maintenance
kila siku mikopo ila hali haibadiliki.Jana wamepitishiwa mikopo miwili na Benki ya Dunia,
Ulivyo na Akili Mbovu .... Awamu zoote ukaone ya Tano tu.Kivipi? Mwigulu ndio aliwalipa Madeni yoote yaliyokuwa yamewalemea awamu ya 5
Kaka Hazina peupe hamna hata mia kila siku wanatupiga sound. Kilichobaki saivi watashindwa kulipana mishahara ndio watu waelewe serikali haina kituKibubu kimekauka Kau
Panya wamekula ghala lote ,yamebaki makapi ,ghalani
Hata mimi nashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KWA HIYO AJIIBIE MWENYEWE
Baba unaikimbiaje familia kisa huna hela??Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Ndio lakini sio kwa kiwango hiki cha miradi mingi hailipwi kwa zaidi miezi 6..Wizara wa uvuvi na mifugo wanadaiwa mwaka sasa miradi yao yoteHakuna mwaka wakandarasi hawajawahi idai Serikali Kwa hiyo hakuna habari Mpya hapa.