Serikali itoe ajira tuache kudanganyana

Serikali itoe ajira tuache kudanganyana

Mkuu kutunyima kwetu ajira wasifikiri wametuweza. Mwaka kesho naanza mchakato wa kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watakaonisupport wapo wengi sana. Wameshasahau kuwa cheo ni dhamana? Wanasema tujiajiri lkn hao hao miaka nenda rudi wameajiriwa na serikali. Mfano. Mkuu wa wilaya ya hai, sasa hiv ni mtangazi RFA sasa kwann hajajiajiri?
Huu ndiyo muda wa mapinduzi ya kweli na kuondoa serikali ya kidhalimu. Nitaomba msaada hadi nje kuhakikisha katiba mpya na tume huru ya uchaguzi imepatikana.
 
Nilifikiri unatafuta namna ya kujiajiri, kumbe upuuzi mtupu. Nani kakuambia hata usipowapigia kura utawaathiri. Maalim Seif na ubabe wake wote pamoja na kutumia dini yamemshinda sembuse wewe kajamba nani ?
 
Ha. Ha ha ..sasa Wafanyakazi wenye vyeti feki pengo lao si walizibe kwa kuajiri sasa?..au ndiyo soundi mwanzo mwisho?..
 
Nilifikiri unatafuta namna ya kujiajiri, kumbe upuuzi mtupu. Nani kakuambia hata usipowapigia kura utawaathiri. Maalim Seif na ubabe wake wote pamoja na kutumia dini yamemshinda sembuse wewe kajamba nani ?
Subiri uone. Kwan Ghadafi pamoja na kuwa na jeshi kubwa leo yupo wapi?
Subiri uone mkuu. Pesa ni maisha hiyi lazima itafutwe na upande wa pili napigana ili kutengeneza equal distribution of national cake. Hii issue kabla ya uchaguzi mkuu itakuwa very hot.
Mwaka kesho naanza hii issue. Ww subiri uone. Ingekuwa hivyo basi Ghadafi angekuwepo mpaka leo si alikuwa na jeshi?
 
Nisubiri nione nini, ujasiri wa nyuma ya kibodi ?

- Unazungumzia Gaddaf kwa taarifa yako, huyo Gaddaf hakuondolewa na walibya, ila kaondolewa na Jeshi la Nato ( US ). Na sababu kubwa ni maslahi yao sasa wewe kwa shida zako binafsi za ajira unategemea hata mtaani kwako tu watakuunga mkono ?
 
Nilifikiri unatafuta namna ya kujiajiri, kumbe upuuzi mtupu. Nani kakuambia hata usipowapigia kura utawaathiri. Maalim Seif na ubabe wake wote pamoja na kutumia dini yamemshinda sembuse wewe kajamba nani ?
Ingekuwa hivyo basi Ghadafi angekuwepo mpaka sasa hivi. Mkuu waliofanya nchi zao kuwa nzuri walikuwa hata hawajulikani kbsa. Muda wa kuogopa umeisha. Hata nisipojiajiri utanipa pesa ww? Mpaka sasa hiv unajua nina kula nn? Acha ujin.ga dogo.
Hii nchi imefanywa ya wachache sasa, mikataba mibovu imesainiwa, uonevu n.k sasa ni muda wa kuifanya Tanzania kuwa nchi salama.
Hii issue haitaji nguvu ni akili tu. Elimu elimu elimu itatolewa Tanzania kote halafu sasa kifuatacho ITV utakiona
 
Nisubiri nione nini, ujasiri wa nyuma ya kibodi ?

- Unazungumzia Gaddaf kwa taarifa yako, huyo Gaddaf hakuondolewa na walibya, ila kaondolewa na Jeshi la Nato ( US ). Na sababu kubwa ni maslahi yao sasa wewe kwa shida zako binafsi za ajira unategemea hata mtaani kwako tu watakuunga mkono ?
Mkuu acha kuropoka. Subiri uone. Acha kupiga mayowe mkuu. Wengi sana watanisupport. Subiri uone. Nimesema mwaka 2018 hii issue naanza.
Ulikuwa unafikiri Ghadafi atakuja kuondoka madarakani? Wala siyo kwa ajili ya ajira, hii ni zaid ya ajira mkuu.
Acha kupiga mayowe. Subiri uyaone mwenyewe.
 
Mungu yupo ndo mbabe wetu hatutoogopa
 
Ingekuwa hivyo basi Ghadafi angekuwepo mpaka sasa hivi. Mkuu waliofanya nchi zao kuwa nzuri walikuwa hata hawajulikani kbsa. Muda wa kuogopa umeisha. Hata nisipojiajiri utanipa pesa ww? Mpaka sasa hiv unajua nina kula nn? Acha ujin.ga dogo.
Hii nchi imefanywa ya wachache sasa, mikataba mibovu imesainiwa, uonevu n.k sasa ni muda wa kuifanya Tanzania kuwa nchi salama.
Hii issue haitaji nguvu ni akili tu. Elimu elimu elimu itatolewa Tanzania kote halafu sasa kifuatacho ITV utakiona
Kumbe najibizana na shorgger. Kaa mbali na mimi
 
Ambao tumeajiriwa tu wanatamani watupunguzie mishahara ili wapumue,soon tutaambiawa hakuna mishahara kwa hali ilivyo.
 
Hapo ndio ushangae hata Wapinzani wameshindwa kulifanya hili suala la AJIRA kama agenda, wamebaki kupanua mamidomo Bashite bashite - rambirambi rambirambi - mchanga mchanga - rais hasafiri rais hasafiri - demokrasia demokrasia - kiingereza cha Magufuli kiingereza cha Magufuli

- Sidhani kama kuna nchi nyingine yenye vyama vya upinzani vya kibogus kama Tanzania
Wewe Mkaruka ni kada wa chama cha majambazi . . , ni mtu mnafiki sana . .
Eti leo unataka watu waliokatazwa kufanya siasa (kidikteta) na mwenyekiti wenu wapige kelele kuhusu ajira . . ?!
Kwani ccm wameshaanza kuwanyima posho zenu za kuposti ujinga huku JF na FB . . ?!

Na ni kwa nini watanzania wasubiri wapinzani wawasaidie kusema shida zao . . , mbona upinzani umeshafanya kazi kubwa sana zaidi ya miaka 20 sasa . .
Mbinu ya sasa wanayotumia wapinzani kukaa kimya ccm wanapotenda hovyo ni nzuri sana, hii ndio itawaibua wale wanafiki kama Mkaruka kuchoma moto vichaka vya ccm . .
 
Binafsi nimesoma namba zote juz nimeanza za Kireno
 
Wewe ni kada wa chaggadomo, mnaweza wizi tu. Mtatumikishwa na ukoo wa Mtei mpaka kiama, Nyang'auuu
 
Kwakweli hii ishu ya ajira mpya inabidi tu ifike muda tuitoe akilini. Tujifanye kanakwamba hatukwenda chuo na wala hatuna vyeti. Halafu badala yake tutafute mbinu zingine za kutoka kimaisha tofauti na elimu. Hizo ajira zikitolewa iwe kama surprise tu.

Raisi tuliyenaye hashauriki, that is the biggest biggest problem with this JPM government.
 
Kumbe najibizana na shorgger. Kaa mbali na mimi
Teh teh teh
Mbona povu kijana wangu? Tunajadili mambo ya siasa ushaenda kweny habari ya uzinifu. Mtu hawezi kuzungumzia uchafu huo km siyo mhusika. Mm siyo ba..sha mkuu. Katafute masho...,ga wenzako huko. Huu ni muda wa ukombozi.
Mkuu wala usiwe na parapara na kutoka na povu. Nimekuambia 2018 hii kazi naifanya. Subiri muda ufike ndiyo uje hapa kutoka povu.
Mkuu wengi sana watanisupport. Naanza na wanachuo wote wa chuo kikuu, naenda kwa colleges kisha namalizia na wananchi wa kawaida. Hii issue mpaka ifike 2020 itakuwa hot sana
 
Wewe ni kada wa chaggadomo, mnaweza wizi tu. Mtatumikishwa na ukoo wa Mtei mpaka kiama, Nyang'auuu
Naweza wizi? Unafikiri huu ni muda wa kula rambi rambi? Huu ni muda wa kuiondoa madarakan serikali dhalimu ya kikoloni.
Kifo ni kawaida sana mkuu. Acha ujinga kama wa baba yako kuwa sho...ga
mkuu mjipange sasa. Kilichowaondoa wakoloni weupe ndicho kitakachowaondoa wakoloni weusi.
Mkuuu unatokwa povuuuu subiri dawa inakuja mkuu. 2018,-2019 hii issue itakuwa imekamilika. Teh teh teh wanaogopa kukosa ugali
 
Wewe ni kada wa chaggadomo, mnaweza wizi tu. Mtatumikishwa na ukoo wa Mtei mpaka kiama, Nyang'auuu
Unafikiri nyerere asingejitoa sadaka na Mandela unafikiri hizi nchi zingekuwa salama.
Niliwaambia ccm kuweni makini sana, hawa viumbe siyo wale wa mwaka 1947. Mkajipange tu. Ww tukana uwezavyo lkn muda wa equal distribution of national cake is coming
 
Kwa mtazamo huu....nitaendelea kuishangilia serikali kwa mbwembwe zote kwa kutoa ajira.

Kila anayekuja kuanzisha thread hapa ndani uatamsikia anaongea. Nanukuu: Watu wamesoma kwa gharama kupata degree.

Seali: Wenye Astashada na Stashahada hawakutumia gharama????
 
Tatizo serikali yetu ina kiongozi msemakweli na kinyume chake...

Tutafika tuuuiu
 
Kwanza kabisa niseme huwa sinaga chama, Kila ninaechat au kuzungumza naye analalamika hali kuwa ngumu
Nawaonea huruma vijana wenzangu.ambao wamesoma wanazo degree zao wapo tu nyumbani kila siku wimbo wa ajira umekua ni ule ule
Ingekua hata serikali imewatengezea mazingira ya kujiajiri hata isingekua nongwa
Vijana wa nchi wana moyo wa uvumilivu sana
Wanapitia kipindi kigumu cha maisha kuliko chochote kile tanzania hii
Naumia sana pale napowakuta vijana wenzangu hususani kaka zangu na dada zangu wa kitanzania. wamesomeshwa kwa shida na wazazi hizo degree au wamesoma kwa mkopo halafu leo hawana ajira halafu hapo body ya mikopo inawajia juu walipe watalipaje sasa?
Serikali ya kidemokrasia ni utawala wa watu ulowekwa na watu na kwa manufaa ya watu kwanini vijana ambao wengi ndo wapiga kura wakose ajira katka nchi yao
Tuache utani kwenye hili jambo halihitaji mzaha kabisa
Cha msingi serikali itoe ajira kwa vijana kuliko kinyume chake
Kama hutoi ajira kuna haja gani ya kutenga mabilioni kila mwaka ya mikopo na kujenga au kukarabati vyuo ilhali watu hawaajiriwi?
Umetumwa na hao kaka na Dada zako au we ni mhanga wa hilo tatizo...
 
Back
Top Bottom