nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Wanajamvi heshima kwenu.
Umuhimu wa Serikali kuu kuhamia katika mji mkuu wa nchi yetu Dodoma; Ulishaelezwa na maamuzi yalishapata ridhaa ya Wananchi Muda mrefu.
Mkapa akajaribu kulazimisha Wizara zihame sijui upepo gani umepita.
Serikali ya ccm mpaka leo miaka nenda rudi huoni kama wanahama Dar bali wanaweka mizizi Dar.
Kikwete kipindi chake jambo lililoshinda miaka 8 usitegemee miaka iliyobaki 2 IKULU ya MAGOGONI itahama.
Mpaka sasa imeshindikana Je? CCM, WAPINZANI, WATANZANIA ni mpaka tuwakabidhi CHADEMA UONGOZI WA NCHI / IKULU?
Kwa kuwa ni chama kinachobeba Agenda za Tanzania tuitakayo au
Natoa hoja
Kwanini Unauliza kiunafiki? Umesoma MOJA YA MIKATABA aliyosaini WAZIRI MKUU - PINDA huko CHINA? Ni kuipatia ARDHI Serikali ya CHINA kujenga Ubalozi wake MPYA DAR-es-SALAAM... na kwanini kama ni Marafiki wa pete na kidole wasiwaambie wajenge DODOMA???
Kwahiyo CCM yenyewe haiendi DODOMA