Serikali itahamia Dodoma CHADEMA ikipewa ikulu?

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,842
Reaction score
1,148
Wanajamvi heshima kwenu.

Umuhimu wa Serikali kuu kuhamia katika mji mkuu wa nchi yetu Dodoma; Ulishaelezwa na maamuzi yalishapata ridhaa ya Wananchi Muda mrefu.
Mkapa akajaribu kulazimisha Wizara zihame sijui upepo gani umepita.

Serikali ya ccm mpaka leo miaka nenda rudi huoni kama wanahama Dar bali wanaweka mizizi Dar.

Kikwete kipindi chake jambo lililoshinda miaka 8 usitegemee miaka iliyobaki 2 IKULU ya MAGOGONI itahama.

Mpaka sasa imeshindikana Je? CCM, WAPINZANI, WATANZANIA ni mpaka tuwakabidhi CHADEMA UONGOZI WA NCHI / IKULU?

Kwa kuwa ni chama kinachobeba Agenda za Tanzania tuitakayo au

Natoa hoja
 
Kwanza siamini kama kuna mtanzania ambaye anawazo la kuiweka chadema madarakani au ikulu.

chadema wanatumia ruzuku za chama kwa matumizi yao na familia zao,

Kwahiyo siyo jamo jepesi kuweka ikulu chama cha kilaghai kama chadema ikulu.
 
sisi cdm kipaumbele chetu ni kufufua uchumi wa nchi uliotekezwa na ccm , haya mambo ya kuhamahama kama kunguru hatuyawezi .
 
...kwa mpango huo! niko tayari kuipigia kura CDM...!
 
Tunahamiaje Dodoma wakati ikulu ipo Dar? Ningependekeza kuwa CDM ikichukua nchi ivunje rasmi mpango feki wa kuhamia Dodoma na makao yawe Dar kama ambavyo imekuwa siku zote tangu na kabla ya uhuru!
 
Mawazo ya Kibavicha utayajua tu. Hivi unaweza kupewa serikali.
 
Wanajamvi heshima kwenu.

Umuhimu wa Serikali kuu kuhamia katika mji mkuu wa nchi yetu Dodoma; Ulishaelezwa na maamuzi yalishapata ridhaa ya Wananchi Muda mrefu.
Mkapa akajaribu kulazimisha Wizara zihame sijui upepo gani umepita.

Serikali ya ccm mpaka leo miaka nenda rudi huoni kama wanahama Dar bali wanaweka mizizi Dar.

Kikwete kipindi chake jambo lililoshinda miaka 8 usitegemee miaka iliyobaki 2 IKULU ya MAGOGONI itahama.

Mpaka sasa imeshindikana Je? CCM, WAPINZANI, WATANZANIA ni mpaka tuwakabidhi CHADEMA UONGOZI WA NCHI / IKULU?

Kwa kuwa ni chama kinachobeba Agenda za Tanzania tuitakayo au

Natoa hoja

Tusipoteze muda kujadili Chadema kuingia ikulu. Ni kitu ambacho ni ndoto za mchana.
 
Kwanza siamini kama kuna mtanzania ambaye anawazo la kuiweka chadema madarakani au ikulu.

chadema wanatumia ruzuku za chama kwa matumizi yao na familia zao,

Kwahiyo siyo jamo jepesi kuweka ikulu chama cha kilaghai kama chadema ikulu.

2015 lazima ufe kwa kihoro,unapata wapi mamlaka za kuwasemea watz wewe mbwiga? magamba mumeshapungua mno na subiri uone,KUPITIA KWAKE YEYE AWEZESHAYE HAKUNA KINACHOSHINDIKANA.KILIO CHA WATZ KIMEFIKA MBINGUNI NA MUUMBA MBINGU NA NCHI AMEAMUA KUWAKOMBOA KUPITIA CDM.hutaki unywe sumu ufe.
 
CDM wakapewa ikulu jambo la kwanza ni kushughulikia mambo muhimu kwa maslahi ya wananchi, suala la kuhamia dodoma ama kubaki bandarini ni mambo ya kufikirika kwa sasa
 
we unadhani nani ataipa Ikulu chadema mpaka ufikirie hayo?
Nalog off
 
Mawazo ya Kibavicha utayajua tu. Hivi unaweza kupewa serikali.

amani kwako mkuu upo naona bado unawafundisha hawa chadema siasa za kistaarabu,pamoja sana kiongozi.
Nalog off
 
CHADEMA walikuwa wanapinga mpango wa kuhamia Dodoma enzi zile Mtei alipokuwa mwenyekiti wa chama.Ila walikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu Dodoma na kuyageuza majengo yaliyokwisha jengwa kuwa matumizi ya chuo hicho.
 
Back
Top Bottom