Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

Serikali isiyumbishwe na vibaraka dira 2050 ndio mpango mzima

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika.

KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
 
Kamwe haiwezekani kuwaridhisha hawa wanaojiita wanademokrasia hebu Serikali ijikite katika dira 2050 bila woga wala kubabaika.

KWA HISANI YA MTU WATANZANIA!
Dira yao hiyo ndiyo ya mauaji ya halaiki,utekaji,unyanyasaji,ufisadi,uporaji wa chaguzi,uporaji rasilimali za taifa uongozi mmbovu kwenye mihimili yote ama dira ya kuwa mammlakani kwa nguvu ya mtutu wq policcm?
 
Dira ya 2050 ndio imeelekeza kuua maelfu ya vijana? Au haya mauaji na utekaji vipo kwenye ilani ya 25-30?
 
Back
Top Bottom