Nchi maskini nikutokana na wananchi wake kuwa maskini! Lakini kutokukusanya kodi ni chanzo kikubwa cha umaskini cha nchi husika! Ziko mamlaka zimehwekwa kwa ajiri ya ukusanyaji Wa kodi!! Hapa kwetu nni TRA!! Kama makusanyo hayajafikia malengo Wa kulaumiwa ni TRA!! Wanakaa maoficini na kuzungusha viti wakisubiri mtanzania tena mwenye fikra za kimaskini eti amletee kodi!! Hii haiwezekani kabisa!! Acheni kukaa maoficini nendeni field mkakusanye kodi siyo kusubiria eti Mimi nikufuate officine kulipa kodi!!!
Amka nenda kakusanye kodi au mtumbuliwe!! Hamna namna!!
Amka nenda kakusanye kodi au mtumbuliwe!! Hamna namna!!