Minmi ni raia wa kawaida, katiba inaniruhusu kuongea chochote ambacho hakivunji sheria na katiba ya nchi.
KWA YALE Yanayoendelea KIBITI Kuna kila aina kuwa hawa watu wana military training tactics, yaani wana mbinu za kijeshi, pia wako vizuri ki intelijensia. SERIKALI Isiwapuuze hata kidogo, usalama wa taifa wawe bize kipindi hiki.
Kuna vijana wako mtaani wamepitia JKT Hawana kazi ya kufanya zaidi ya kupiga stori kwenye vijiwe vya ghahawa, stendi,na maeneo ya starehe. HAWA Wanaweza kushawishika kuwa waharifu, serikali iajiri vijana kulingana na uhitaji wake. PIA Mheshimiwa RAIS alegeze kamba kidogo, maisha yamekuwa magumu sana mtaani, arejeshe warsha, semina, na zile milioni 50 kila kijiji azitoe kama zipo kupunguza wimbi la vibaka, majambazi na vikundi vya kigaidi mtaani. RAIS WETU YUKO VIZURI JAPO SI AMINI KAMA ANAWASHAURI WAZURI NA WANAOTEKELEZA WAJIBU WAO VEMA. PIA AKIONA INAFAA AWEKE WAZI MAJINA NA PICHA ZA WASHAURI WAKE, MAANA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. KUNA SHIDA KWA WASHAURI