Si Mlijifanya Kumuunga Mkono Yule Mpuuzi Wenu Sasa Mtaisoma Namba KISAWASAWA Hadi MTANYOOKA Tu. Na Bahati Nzuri Hata SHERIA Itawamaliza Tu Hivyo TIINI Tu Maamuzi Ya MAMLAKA au Kama Vipi Mwambieni Huyo Mtu Wenu Kuwa Hizo HELA au Hiyo Bajeti Anayotaka Kuitumia Kuzunguka Nchi Nzima Kuwashukuru NYUMBU Angeimega Tu Kidogo Ili Awapeni Mjenge Nyumba ILA Kwa Upande Wetu Mziki Ni Ule Ule Tu Wa HAPA KAZI TU!
Duuhhhhhhh.....Si Mlijifanya Kumuunga Mkono Yule Mpuuzi Wenu Sasa Mtaisoma Namba KISAWASAWA Hadi MTANYOOKA Tu.ILA Kwa Upande Wetu Mziki Ni Ule Ule Tu Wa HAPA KAZI TU!
Kwa maelezo yake ana roots za Butiama kama sio Mara!Mods naona ifike wakati tukubaliane kutumia utambulisho wa kweli tu maana huyu Gentamycine amezidi. Yeye anasema ni Mnyarwanda ila ameishi TZ bali kwa sasa yuko kwao yapata miaka 11. Sasa kama ni hivyo mambo ya Bongo mbona yanamgusa sana? Ana maslahi gani na nchi hii wakati sio kwake?
Si Mlijifanya Kumuunga Mkono Yule Mpuuzi Wenu Sasa Mtaisoma Namba KISAWASAWA Hadi MTANYOOKA Tu. Na Bahati Nzuri Hata SHERIA Itawamaliza Tu Hivyo TIINI Tu Maamuzi Ya MAMLAKA au Kama Vipi Mwambieni Huyo Mtu Wenu Kuwa Hizo HELA au Hiyo Bajeti Anayotaka Kuitumia Kuzunguka Nchi Nzima Kuwashukuru NYUMBU Angeimega Tu Kidogo Ili Awapeni Mjenge Nyumba ILA Kwa Upande Wetu Mziki Ni Ule Ule Tu Wa HAPA KAZI TU!
Si waliwapigia kura ukawa wezi, ccm ya sasa hapindishi sheria, pole zao.Mh rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa wakazi wa mabondeni. Tunajua kua kuna baadhi walipewa viwanja na wengine hawakupewa kabisa, Ijulikane kwamba hakuna mtu anaependa kuishi kwa tabu kiasi kile kwenye mvua hua hawana amani ila ni shida tu!
Nafiki tunazalisha kizazi cha kuichukia serikali. Angalia watoto wanavyolia pamoja na wazazi wao. Ni heri kama ingetumika busara ya kuwapa fidia ya kodi ya japo mwaka mmoja kwa kila mmoja. Ikumbukwe serikali nayo inamakosa kwanini wasinge wazuia wakati wanajenga?
Hebu angalia watoto wanavyo teseka
facebook.com/itvtz
Cjakuelewa unataka kutuaminisha kuwa utawala wa magufuri ni wakulipa kisasi kwa wale wasio mpigia kura??????? Usimtwishe dhambi magufuri si mtu wa mawazo kama yako, madhan usiaminishe watu hisia zako potofu.Si Mlijifanya Kumuunga Mkono Yule Mpuuzi Wenu Sasa Mtaisoma Namba KISAWASAWA Hadi MTANYOOKA Tu. Na Bahati Nzuri Hata SHERIA Itawamaliza Tu Hivyo TIINI Tu Maamuzi Ya MAMLAKA au Kama Vipi Mwambieni Huyo Mtu Wenu Kuwa Hizo HELA au Hiyo Bajeti Anayotaka Kuitumia Kuzunguka Nchi Nzima Kuwashukuru NYUMBU Angeimega Tu Kidogo Ili Awapeni Mjenge Nyumba ILA Kwa Upande Wetu Mziki Ni Ule Ule Tu Wa HAPA KAZI TU!