Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
Ndugu zangu, nipende kuwasalimu, lakini kwa kifupi tu naweza kupata wasiwasi kwa baadhi ya watuhumiwa waliotajwa kua wanahisika kua wanuza madawa ya kulevya, na baada ya uchunguzi na kuonekana hawana hatia, wanaweza fungua kesi mahakamani kwa kudai kuchafuliwa mbele za wananchi.
Inawezekana ikalipa gharama za kesi za waliochafuliwa majina yao
Inawezekana ikalipa gharama za kesi za waliochafuliwa majina yao