Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Kwa sisi wakazi wa kanda ya ziwa Bei cement imefika shilling 24000 kwa mfuko mmoja. Ni muhimu kwa serikali ya awamu ya tano kufikiria kwanini wakati huu wa uchaguzi kwa cement kupanda bei kiasi hicho.
Serikali Iruhusu wafanya biashara waagize Cement Kutoka Kenya na Kodi ipunguzwe ili hili kero iishe.
Bei ya cement Kenya ni shilling 13000.
Pamoja na serikali kuvilinda viwanda vya cement hapa nchini lakini viwanda hivyo vimeshindwa ku supply cement kwa Bei nafuu.