Serikali irekebishe sheria za hukumu na kanuni za adhabu kwa wahujumu uchumi

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Kutokana na aibu kuu iliyoletwa na baadhi ya watendaji wa serikali kuliingiza Taifa katika umasiki unaotisha mpaka kupelekea kudharauliwa, kudhihakiwa na kuchekwa hata na majirani kwamba tuna kila rasilimali lakini tumekuwa nchi masikini mno, Watendaji waliodhaniwa ni wazalendo kutumia vibaya dhamana waliopewa na viongozi wakuu na watanzania kwa ujumla ninaomba serikali irekebishe kanuni za adhabu na hukumu kwa kesi za uhujumu uchumi kuwa adhabu ya kifo yaani kunyongwa hadi kufa.wala kusiwepo na hukumu mbadala kama kifungo cha nje kwenda kufagia mahospitalini au popote pale tumeibiwa vya kutosha watanzania.
 
KABISA MKUU WAFIRISIWE NA IKIBIDI WANYONHWE NA KUFUNGWA MAISHA KAMA CHINA
 
Back
Top Bottom