Serikali irahisishe ulipaji wa kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa luku kama kodi ya Jengo

COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
2,131
1,808
Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo.
  1. urahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati.
  2. Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
 
#
Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo.
1 kurahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati.
2 Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
nyie ndo vibaka wenyewe.wez,na walarushwa kazi kumnyonya mwananchi huku mnaachia ushuru kwenye pombe. Pumbavu kabisa
 
Sio hizo tu wakusanye kodi zote watakazo ona zafaa waziweke huko kwenye maji na umeme , mafuta ya motokaa na kwengineko ili kusudi ukinunua hizo bidhaa muhimu unakula mkono kwanza wa makato.
 
Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo.
  1. urahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati.
  2. Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
Ndivyo itakavyokuwa,wanafanya tathmnini kwa kuangalia ufanisi wa kodi ya jengo via luku
 
Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo.
  1. urahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati.
  2. Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
Kwa hiyo na viwanja, plots, mashamba yafungwe Meter za LUKU?
 
Kwa hiyo na viwanja, plots, mashamba yafungwe Meter za LUKU?
Utaratbu utapelekwa au kuendeshwa Kama huu wa Jengo kwani si Kuna nyumba hazina umeme na watalipa Kodi ya Jengo. Na huko kwenye ardhi italipika TU mkuu
Hututakii mema wewe
Mkuu nawatakia na kujitakia mema.Labda nikuelimishe kwanza kazi ambao iliwashinda waliotuletea mradi kabla hawajatupa Elimu tuwa elewe.
IPO hivi kabla ya tozo, Kodi ya Jengo ilikuwa Ni Kuanzia TSH 20,000/= kwa mwaka kwa nyumba za kawaida.Na unailipa maramoja.Lakini Sasa Kodi hiyo unailipa kidogo kidogo yaani TSH Elfu 1 kwa nwezi hivyo kwa miezi 12 utakuwa umepunguziwa kiasi Cha Tshs. Elfu 8 Sasa afadhali Ni Ipi kulipa 20,000/= au 12 Elfu????
 
Back
Top Bottom