Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,170
- 12,219
Kivipi mkuu?Naona mnataka hao wastaafu wafe mapema au wawe mizigo kwa watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi mkuu?Naona mnataka hao wastaafu wafe mapema au wawe mizigo kwa watoto wao.
wewe koment tu ilimradi ujamtukana mtu hapo sawa. lakini na nyinyi mkifikisha mashamba matano nanyi mstaafu ili wajukuu waendelelezesisi ambao tulisoma madesa bila ujasilia mali na mitaji hatuna toka 2015 tupo tu tukilima mbolea hatuna tukikopa wanasema tuwe na dhamana lasivyo hatukopesheki je? tuna ruhusiwa kukomendi au tubaki na hasira zetu mioyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
wenye mafanikio mengi ni wenye digrii moja moja hawa wa PHD ni vielele hata hivyo huwa wengi wanashindwa maisha kwa PHD zao huwa haziwasaidia labda kuweka record to kuwa alisoma kiwango cha juu kabisa.Kuanzia miaka 45 ndo watu wanaanza kuwa productive zaidi kazini kwa swala la uzoefu na elimu. ndo umri ambao wengi wanapata Masters na PhD. Yaani mtu ndo kapata PhD leo, kesho anastaafu, hilo ni sawa na upotevu wa rasilimali watu
Kwa hiyo hatuhitaji kuwa na elimu ya juu zaidi ya degree moja? kwa hiyo phd holders na maprofessor ni useless au mimi ndo sijakuelewa...wenye mafanikio mengi ni wenye digrii moja moja hawa wa PHD ni vielele hata hivyo huwa wengi wanashindwa maisha kwa PHD zao huwa haziwasaidia labda kuweka record to kuwa alisoma kiwango cha juu kabisa.