SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu isiyotengenezeka ya reli ya kati.