Tunajadili hojja ya mwalimu wako kwanza usiruke ruke kama dagaa kaona Karabai.
Infact wapo sahihi kwa sababu ukienda kusoma unakua hufanyi kazi alafu mwajiri anaendelea kukulipa mshahara. Daraja baada ya kufanya kwa miaka 4 mwajiri anapitia utendaji kazi wako kwa ujumla atakapojiridhisha umefikia malengo anakupandisha Kama zawadi baada ya kukizi vigezo. Sasa mtu upo masomoni atakupandisha daraja kwa kupima malengo yapi uliyoyafikia.Hizo tarifa ukienda masomoni upandi tadara ni porojo kwa sababu kinachoenda utumishi na hazina ni tarifa zako za kiutumishi ambazo zinatoka kwenye idara yako nakwenda kwa afisa utumishi nakuziwasilisha zinapoitajika
Kwaiyo hata ukienda masomoni hawawezi kuchomoa kwa sababu upandishaji unazinfatia mwaka wako wa ajir mafano afisa utumishi anatumiwa tarifa tunaomba orodha ya watumishi walioajiliwa mwaka X so majina yote yanatumwa so hata ukienda masomoni daraja unapanda tu
Umeongea kweli mkuu walimu wanaandalia kwa utaratibu huo kwa sababu ndo watu waliobeba dhamana ya kutengeneza future ya hili Taifa kwaio wakitengenezwa walimu wabishi,wakorofi,wenyevurugu wataenda kuwafundisha watoto mambo hayo hayo na usishangae siku moja tukawa Kama nchi. Za Congo,Burundi ,Sudan na zingine zenye machafuko kwaio acha walimu wawe na nidhamu na uvumilivu mkuu.Viongozi waliopo kwenye idara za elimu ngazi ya halmashauri wengi ni watu wenye fitina sijapata kuona. Wachache sana wenye roho ya utu.
Pia waalimu wengi ni waoga hawajui kudai haki zao so far hawana umoja. Unaweza kukuta waalim wanajipanga vizuri kwenda kudai haki zao miongoni mwao anakuwa snitch kwenda kuwasema wenzake vibaya hata kwa ambalo hawajalipanga kulifanya.
Nimefanya tafiti isiyo rasmi nimegundua jinsi waalim wa tanzagiza wanavyoandaliwa chuoni kuna kitu kidogo hakipo sawa yaaan waalim ni kundi kubwa la waoga kupita maelezo. Na hilo linaonekana tangu wakiwa masomoni.
Nimewahi lala usiku tofauti tofauti ndani ya vyup vya ualim hasa TTC aisee nilioyaona ni balaa waalim wanapewa madoso kama kuruta aiseee
Naungana na wewe kuhusu kufundishwa uvumilivu na nidhamu kwa kila mtu ambae atakuwa mtumishi katika taifa lolote. Naomba Pita vyuo vyoote angalia course outlines zooote tanzania nzima, waalim hata wakiwa vyuoni hufundishwa WAJIBU hawafundishwi haki zao ni nini.Umeongea kweli mkuu walimu wanaandalia kwa utaratibu huo kwa sababu ndo watu waliobeba dhamana ya kutengeneza future ya hili Taifa kwaio wakitengenezwa walimu wabishi,wakorofi,wenyevurugu wataenda kuwafundisha watoto mambo hayo hayo na usishangae siku moja tukawa Kama nchi. Za Congo,Burundi ,Sudan na zingine zenye machafuko kwaio acha walimu wawe na nidhamu na uvumilivu mkuu.
Ndo kwa mshahara wa ngazi ya Certifate Grade A????Binafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya.
Labda nikupe mfano “ Nina mdogo wangu yupo ujerumani alipata chance kipindi cha Corona kutibu wagonjwa katika nchi ya ujerumani, yeye kajiongeze na kuendelea kujiendeleza kimasomo. Nikiwa nawasiliana nae ananiambia walimu wa awali katika nchi ya hiyo ni watu wenye elimu kubwa tu na tofauti na hapa Tanzania “
Binafsi natamani walimu wa awali wawe na elimu ya juu ili kuwapa knowledge kubwa vijana wetu.
Ndo kwa mshahara wa ngazi ya Certifate Grade A????
Nimekusoma mkuu!Soma tena!!
Nimekusoma mkuu!
Hivi mambo haya yanatokea kwa mwalimu huyu akiwa kwenye halmashauri moja chini ya mkurugenzi mmoja au alijaribu kuhama na yakaendelea kumtokea?
Hilo ni kweli kabisa. Kwa wenzetu wanaojua maana ya elimu. Waalimu wenye shahada ndio wanafundisha chekechea. Msingi ni muhimu sana. Sisi huku waloshindwa la saba ndio mateachet. Msingi mbovu unawaandama wanafunzi maisha yao yote.Binafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya.
Labda nikupe mfano “ Nina mdogo wangu yupo ujerumani alipata chance kipindi cha Corona kutibu wagonjwa katika nchi ya ujerumani, yeye kajiongeze na kuendelea kujiendeleza kimasomo. Nikiwa nawasiliana nae ananiambia walimu wa awali katika nchi ya hiyo ni watu wenye elimu kubwa tu na tofauti na hapa Tanzania “
Binafsi natamani walimu wa awali wawe na elimu ya juu ili kuwapa knowledge kubwa vijana wetu.
Umeliona hilo tuu?? Suala la maslah hujaliona unaposoma hii hbr!??Hv unafikiri Mwalimu anayetakiwa afundishe wanafunzi wa shule za msingi ni mwalimu ambaye hajasoma?
Eti serikali haitaki kutumia elimu yake kwani kazi anayofanya anatumia nini?
Akili za kijinga kabisa
Huku kwa watoto wadigo ndio kwwnye uhitaji was watu waliosoma sana.
Ndiko kwwnye msingi was kumjenga mtoto
Huo ni uzembe wa halmashauri na watumishi wake siyo serikali kwani vibari vya miaka hiyo vishatokaHapo kwenye aya ya pili nakupinga mkuu, kuna halmashauri ya ngara huko mkoani kagera kuna walimu wa 2012 na 2013 aidha kwa kuajiriwa au kwa kupanda madaraja mara ya mwisho kwa miaka niliyoitaja hapo juu
Yaani kwa kifupi wanakula mishahara ya miaka hiyo ya 2012 na 2013
Ndiyo matatizo yenu mtu kaja na yanayomsibu unadai ni uongo!!!! Hii nchi imejaa uonevu wa hali ya juu. Wafanyakazi huu mwaka wa sita sasa hawana nyongeza ya mishahara pamoja na kuwa waliahidiwa baada ya uhakiki wa vyeti na kwa huu uchumi wa kati sitashangaa miaka 10 ikikatika bila nyongeza, lakini hata hii miaka sita ya bila nyongeza utasema ni uongo!!!
Nikijuacho na alichokiandika hapo haviendani. Ndio maana nimesema kama ndivyo ilivyo Basi huyo mwl atakua na shida binafsi...maana ninarafiki anainshu kama hii ila tatizo kulikua lake yeye mwenyewe baada ya kwenda masomoni Bila ruhusa.Ndiyo matatizo yenu mtu kaja na yanayomsibu unadai ni uongo!!!! Hii nchi imejaa uonevu wa hali ya juu. Wafanyakazi huu mwaka wa sita sasa hawana nyongeza ya mishahara pamoja na kuwa waliahidiwa baada ya uhakiki wa vyeti na kwa huu uchumi wa kati sitashangaa miaka 10 ikikatika bila nyongeza, lakini hata hii miaka sita ya bila nyongeza utasema ni uongo!!!
Mbona hoja zako haziendani, ninachozungungumzia ni swala la uyo mwl sio swala la nyongeza ya mshahara ndugu.Ukijuacho wewe na hali halisi haviendani. Wafanyakazi wa Serikali hawana nyongeza mwaka wa sita sasa. Bila ya shaka ukijuacho wewe ni kwamba wafanyakazi wanastahili nyongeza kila mwaka unless muajiri haridhiki na utendaji wao. Je, muajiri haridhiki na utendaji wa waajiriwa wake wote kwa mwaka wa sita sasa?
Jambo kheri sana,Silinde afungue akaunti humu JF ili awasaidie watumishi wengi wa ngazi za chini ambao wanadhulumiwa na maboss za o halmashauri.Mwezi February niliweka hapa taarifa ya Mwalimu mmoja mkoani Arusha ambaye ana astashahada ya ualimu (Teaching Certificate), Bachelor Degree ya Ualimu (B.A with Education), Postgraduate Diploma in Special education (aliyoipata huko Norway) na Masters Degree ya usimamizi wa Elimu (Master of Education - Planing &Administration).
Lakini Mwalimu huyo amekuwa akilipwa mshahara wa certificate na bado anafundisha MAGAZIJUTO darasa la 3B.
Nilimuandikia Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mhe.Silinde Ernest David kumuomba mambo mawili. Moja huyo mwalimu abadilishiwe muundo wa mshahara ili alipwe kwa viwango vya Mwalimu mwenye degree, na pili kama ikipatikana nafasi Mwalimu huyo aondolewe shule ya msingi apelekwe sekondari au vyuo vya kati akatumike vizuri. Kumuacha msomi kama huyu kuimba mabata madogo madogo ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Napenda kutoa mrejesho kwamba Mhe.Silinde alilifanyia kazi suala hilo, aliwasiliana nami, baadae akawasiliana na Mwalimu huyo pamoja na uongozi wa Halmashauri anayofanyia kazi. Tayari amebadilishiwa muundo wa mshahara, kwa sasa analipwa kwa kiwango cha mwalimu mwenye degree. Pia Silinde ameahidi kufanyia kazi suala la kuhamishiwa vyuo vya kati. Amesema kwa sasa hakuna nafasi lakini zikipatikana Mwalimu huyo atapewa kipaumbele.
Nitumie fursa hii kumpongeza Mhe.Silinde kwa kuchukua hatua kwa haraka. Pia aendelee kugusa maisha ya watumishi wengine wa wizara yake hata wale ambao hawapati fursa ya kusemewa kama huyu. Hongera Silinde. Tutawapongeza mnapofanya vizuri, na kuwakosoa mnapoboronga. We give credit where credit is due.
Mawaziri wengine pia waige hili. Zile zama za kuogopa kufanyia kazi matatizo yanayoibuliwa na upinzani zimepitwa na wakati. Mama amesema tufungue ukurasa mpya kwa maslahi ya watanzania wote.!
GJ Malisa
Hii kwa kada ya ualimu ni kitu ambacho kiko wazi kabisa hawajali ujuzi wa mtu na mtu akijiendeleza inakuwa threat kwao na malisa hajazungumzia promotion amezungumzia mtu kulipwa kulingana na elimu yake kwa maana huyo mwalimu alitakiwa abadilishiwe muundo wake wa kiutumishi kama jinsi kanuni zinavyosema baada ya kujiendeleza.Malisa acha uongo haiwezekani mwalimu ana miaka zaidi ya miaka kumi na tano akalipwa mshahara ule ule alioajiliwa nao
Watu ambao wanalipwa mishahara ilel ile kwa walimu ni kundi la ajira mwaka 2014 chini ya hapo hakuna hiyo moja
Pili serialini hakuna mshahara wa masters kuna mshahara wa degree hizo masters ni weredi upatapa maslahi yake endapo utapata position yenye posho ya ukuu wa hicho kitengo mfano masters yake nk inauwezo wakumpa nafasi ya uafisa elimu,
USHAURI
Kama ana phd na bado yupo darasani mwambie andike barua kwa katibu mkuu wizara ya elimu akijielezea wasifu wake na aombe nafasi anayoona anastahili kwa kusema anatuma maombi yake ikiwa nafasi itatokea basi yeye yupo
DOUBT
Uyo mwalimu achunguzwe atakuwa ana sifa ya elimu ila sifa ya kimaadili kama mtumishi wa umma anayestahili kupewa promition hana yani watu wa veting wakimpitia wanaona kasoro
ndio maana anasoma akimini kusoma kutamsaidia hawazi madili ya utumishi wa umma je anafaa
Kwa sababu kita halmashauri kila mwaka huwa zinachukua tarifa za watumishi kuhusu elimu nk tarifa hizo hzikai halmashauri tu zinaenda mpaka utumishi kwaiyo kwa elimu yake na mda aliokaa kazini lazima wangemuona wangeuliza uyu mtu tunamuitaji so mwambieni ajichunguze atakuwa na tatizo tusishie kulaaumu tu
Sukuma gang ibabidi wakuhoji.Dikteta anatolewa kwa natural death au kwa mtutu wa bunduki.