HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,255
- 103,407
Serikali kupitia NBS, BOT wanadai mfumko wa bei ni 4.4% ila kiuhalisia vitu vimepanda bei zaidi ya hizo asilimia tajwa
Jaribu fatilia bei za bidhaa tokea 01/01/2022 hadi leo, afu linganisha na huo mfumko tajwa..
Tumeona Mafuta yakiongezeka kwa zaidi ya 1400 ndani ya miezi 8, tukichukua kwa asilimia hilo ni ongezeko la 41% sasa inakuwaje Serikali iseme mfumko wa bei ni 4.4%
Kwanini tusielezwe ukweli, ili tujipange na uhalisia?
Tutafakari