Serikali inataka kuua na kuzorotesha shule binafsi?

Serikali inataka kuua na kuzorotesha shule binafsi?

Sio shule tu bali sekta binafsi nzima inauawa kifo kibaya, sijui kama serikali itaweza kutosheleza mahitaji
 
Kule kwenye shule za binafsi watoto karibia wote wanaomaliza wanakuwa na uwezo wa kutema yai. Sasa nikiona mnanikejeli mimi ninaeongea kiingereza cha kuungaunga na grammatical errors kibao lazima niwe na hasira na ninyi wazazi mnaonikejeli kila kona. Na siishii tu kwenu nyinyi wazazi bali ninawapatiliza hadi na uzao wenu ulioko huko kwenye english medium schools a.k.a. private schools. Hiyo itakuwa mwaka 2050 nikiwa madarakani.
In malaika mkuu's voice
 
Back
Top Bottom