Mkuu hii ni ngumu kwani utaratibu unapata exemption after 5 years sasa hili la kila mwaka linakujaje?? in addition pale TRA kila kitu kiko controlled kwenye compyuter na TIN no inayotumika ni moja ambayo mtumishi wa umma anaitumia kulipia kodi kila mwezi...
Mkirua exemption kwa mashirika ya dini si kila baada ya miaka 5 ila wanapokuwa na miradi mipya ikipitia ngazi husika (Wilayani na Mkoani kisha wizarani) basi unapata exemption. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi wanaifaidi hiyo exemption na serikali inawafahamu badala ya kuwashuhulikia wao tu inaumiza wananchi wote kama kwenye swala la mafuta ya taa...!Mkuu hii ni ngumu kwani utaratibu unapata exemption after 5 years sasa hili la kila mwaka linakujaje?? in addition pale TRA kila kitu kiko controlled kwenye compyuter na TIN no inayotumika ni moja ambayo mtumishi wa umma anaitumia kulipia kodi kila mwezi...
Nipo Dar es Salaam... Soma hoja niliyoijibu then urudi kuuliza swali lako hapa kwasababu unachokisema wewe ni tofauti na nilichokifafanua.Upo wapi wewe?Watu wanatumia majina ya watu wengine amabao ni wafanyakazi kuingiza magari!
Kwani ukiwa mfanyakazi lazima ununue gari? kama umefikia kiwango cha kumiliki gari basi pesa unazo lipia kodi, badala ya kulilia bei ya mchele au unga iwe chini maana ndio uhakika wa maisha ya kila siku.
Kama vipi nunua punda kwani na yeye analipishwa kodi?
Kwani ukiwa mfanyakazi lazima ununue gari? kama umefikia kiwango cha kumiliki gari basi pesa unazo lipia kodi, badala ya kulilia bei ya mchele au unga iwe chini maana ndio uhakika wa maisha ya kila siku.
Kama vipi nunua punda kwani na yeye analipishwa kodi?
Kuna hawa waheshimiwa wanaotaka kuipeleka Serikali mahakamani kudai kwamba kodi ya magari machakavu ni ya kibaguzi kwa vile iinabagua watu masikini dhidi ya matajiri.
Ukinunua gari lililotumika miaka kumi au zaidi unalipia kodi kama asilimia 20. Ukinunua jipya hulilpi kodi hii. Mimi nawaunga mkono, ila sijui uwezo wa sheria kutusaidia sisi akina yahe.