"Serikali" inapokwenda usingizini!

Majoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
612
Reaction score
189
Tunajua sote serikali ni pamoja na Polisi.
Leo asubuhi makutano ya barabara ya AH Mwinyi na barabara ya Rose Garden nimeikuta "Serikali" imekwenda usingizi , tena mzito hata wapita njia walikuwa wakishangaa.
IGP Mwema inabidi aongeze mafunzo huko Moshi ili Crown isi dhalilishwe.
Inaelekea kutokana na vihela vya madereva barabarani, vijana hawalali usiku, katika jitihada za kuvishughulikia vihela hivyo.

 
Huyu anaweza hata kuvunja rekodi ya Wasira!
 
Ole wako akishtuka hapo, lazima apige mkono gari yoyote, pale hajasinzia yule anafanya budgeting ya pombe! Na madeni tu
 
Swadaktaa, isitoshe hayo ndo mambo ya Mujini ewaaaah!!!
 
Kapumzika kidogo tu hata wewe unafanya hivyo mezani kwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…