Lugumiiiiiii!!?Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Kumbuka Mahakama ilitoa amri Lissu akamatwe.
Mambo gani muhimu inashughulika nayo hii serikali ya mwendekasi ?Ni ujinga na upuuzi mtupu, eti Serikali kumuogopa Lissu,!!, Lisu ni nani ktk Taifa hili hadi ijishughulishe na ka lisu tu? Iache kushughulika na masuala muhimu yanagusa mstakabali wa maisha ya watanzania. Kujadili habari za Lisu ni sawa na kujadili tabia za mwendawazimu kushinda jalalani.
Kamuulize rais wako mstaafu wa awamu ya NNE kila hotuba za mwisho wa mwezi alizokuwa anatoa kwa wazee wa kijani D,salaam kila baada ya maneno kumi, mawili lazima amtaje Lissu...... Kwa ufupi waulize hao mabos wako unaowaramba miguu yao ili uishi mjini watakwambie ukweli kuwa Lissu ni nani katika nchi hiiKwa hakika aliyevurugwa na akavurugika ni wewe ambaye unahangaika na kajitu kadogo kama lisu. Mtu ambaye hata sifa za kutumbuliwa hana, kiboko yake ni Tulia Ackson tu.
Serikali haimuogopi MTU yoyoteSasa hilo povu si ukamtolee hakimu Aliyesema hayo?
Tatizo ni mleta mada na kichwa cha mada yake.Siyo kwamba ilitakiwa wahusika wa RICHMOND, IPTL, ESCROW, LUGUMI nk 'waone' kwa sababu walikiuka na kuvunja sheria? Kwa nini tuwe na matazamio hewa eti Lissu avunje sheria aone wakati wapo wavunja sheria kibao hawaguswi?!
Huyo Sizonje wako mwambie avunje sheria aonje chungu ya vyombo vya DolaMbona sizonje anaivunja na kuikanyaga
Lissu ni mwanainchi kama wewe akivunja sheria Dola itakuwa mlangoni kwako.Lissu ni sheria na sheria ni Lissu! Nani avunje nini sasa?
Kama amevunja sheria atakamatwaLugumi hajavunja Sheria ?
Kama amevunja sheria atapelekwa mbele ya pilatoLugumiiiiiii!!?
Hapo veepe?
Sidhani kama serikali inamuogopa Lissu. Nafikiri hata yeye mwenyewe Lissu anatambua fika kuwa Serikali haimuogopi. Yeye ni nani mpaka aogopwe? Nafikiri hajaingia bado kwenye 18 za Serikali kama mwenzake Lema, na siku akiingia ndio utajua kama anaogopwa au la.Kutokamatwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na kufikishwa kortini, kumemtia hofu Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba, kwamba serikali inamuogopa.
Hakimu Simba ameielezea hofu hiyo leo mchana wakati akiendelea kusikiliza kesi inayomkabili Lissu na mmiliki na mhariri mtendaji wa gazeti la Mawio, Simon Mkina, mhariri wake Jabir Idrissa na mchapishaji wa gazeti hilo Ismail Mahbood.
"Hivi Lissu hapa ameletwa chini ya Polisi au kajileta mwenyewe? Mbona hamjamkamata au mnataka mie nitoe uamuzi wa kumfutia dhamana wakati hamjatekeleza wajibu wenu? Simfutii," alisema Hakimu Simba.
Serikali, kupitia Polisi haikumkamata Lissu kama ilivyokuwa imeamuriwa na mahakama baada ya kusindwa kufika mahakamani hapo kwa kesi inayomkabili.
Akaongeza, mahakama kamwe haimuogopi Lissu, lakini inaonekana serikali inamuogopo mbunge huyo na mwanasheria mkuu wa Chadema.
Lissu, Mkina na wenzake wanakabiliwa na kesi ya uchochezi ambayo ilifunguliwa na serikali tangu Juni, mwaka huu. Gazeti la Mawio lilifutwa na serikali kwa tamko la waziri wenye dhamana ya habari, Nape Nnauye, Januari, mwaka huu, baada ya 'kuchongewa' kwa muda mrefu na aliyekuwa mkurugenzi wa idara ya habari, Maelezo, Assah Mwambene.
Na Rais halali wa zanzibar maali seif umemsahauLissu na Lema watawatesa sana maccm
Wewe ndio sio great thinker, mleta hoja kasema ni kauli ya Hakimu akiiuliza serikali na wewe unamlaumu yeye.Hizi ni akili za kitoto sana eti serikali inamuogopa Lisu. Kweli vijana siasa zinawauwa kufikiri na sasa sio tena great thinkers maybe mmekuwa stupid thinkers. Leteni hoja za msingi hizi za kipuuzi wanazungumza watu amboa sio great thinkers.
Sawa kabisa...Ndiyo.
..lakini hajakamatwa na amefika mahakamani mwenyewe.
..hakimu alitakiwa ku-move on, na siyo kuhangaika na mambo yasiyokuwa na msingi wowote.
..kesi hii ni siasa-siasa tu. Hakimu anatakiwa aelewe hivyo.
Hujamwelewa hakimu?Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia