Mbona sizonje anaivunja na kuikanyagaMada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Upotoshaji huo,una hakika hati ya kumkamata Lisu ishafika Polisi na wameshindwa kumkamata?Lissu namwelewa sana huyu jamaa......
Polisi elimu za mwendokasi lazima wamkimbie.......
Utawala Wa fyokofyoko unaitaji watu kama Lussu na Lema........
Aliyefikishwa mahakamani, hilo nalo linahitaji tochi kuliona?Kwani nani anavunja sheria kati ya Magufuli na Lissu?
Ni kama umelambishwa sukari vile komredi, maana uchangiaji wako siku hizi ni pasua kichwa!!Imuogope kwani ye nani hasa..?
Avunje sheria aone...
Ina maana kesi zote anazofunguliwa ni za kusingiziwa tu hajavunja sheria hata moja au wanaomkamata hawajui sheria ni nini?Imuogope kwani ye nani hasa..?
Avunje sheria aone...
Aweza kuwa hakimu wa mwendokasi nini?..huyo hakimu inaelekea ni mkereketwa wa chama.
..suala la msingi ni kuwa Tundu Lissu amefika mahakamani.
..kwamba amefikishwa mahakamani na polisi au kwa hiari yake mwenyewe siyo hoja ya msingi.
Kweli kabisa. Wale wanaosema Serikali inamwogopa ndo hao hao wanasema Serikali ya kidkiteta.Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Utakuwa umevurugwa wewe!!Ni ujinga na upuuzi mtupu, eti Serikali kumuogopa Lissu,!!, Lisu ni nani ktk Taifa hili hadi ijishughulishe na ka lisu tu? Iache kushughulika na masuala muhimu yanagusa mstakabali wa maisha ya watanzania. Kujadili habari za Lisu ni sawa na kujadili tabia za mwendawazimu kushinda jalalani.
Sasa mkuu ukishaona hoja ni ya kipuuzi na wewe unaipuuza tu. Au ukiamua kuijadili, basi ijadili kipuuzi kama ilivyo.Hizi ni akili za kitoto sana eti serikali inamuogopa Lisu. Kweli vijana siasa zinawauwa kufikiri na sasa sio tena great thinkers maybe mmekuwa stupid thinkers. Leteni hoja za msingi hizi za kipuuzi wanazungumza watu amboa sio great thinkers.
Lugumi hajavunja Sheria ?Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia
Lugumi hakukatiza kwenye Red Line ?Hivi mnazijua serikali za nchi za Africa?
Eti serikali inamuoga Lissu.
Kumbe serikali inapompuuza mnadhani inamuoga?
Lissu hajakatiza kwenye utepe unaitwa red line ndiyo maana mnadhani serikali inamuogopa. Siku akikatiza ndio mtapata jibu sahihi.
Ninachompongeza Lissu ni kufahamu vizuri wapi kuna red line na kwa kufanya hivyo anacheza pembeni pembeni bila kukatiza.
Mkuu Lisu sio kajitu kadogo. Kangekuwa kadogo kama unavyokaona wewe, wala usingeangaika kusoma habari zake na kujibizana na watu humu. Ungekapuuza tu, lakini maadam unatumia muda wako kukajadili hako kajitu kadogo, basi sio kajitu kadogo. Ni JITU KUBWAAA kama tembo vile....!!Kwa hakika aliyevurugwa na akavurugika ni wewe ambaye unahangaika na kajitu kadogo kama lisu. Mtu ambaye hata sifa za kutumbuliwa hana, kiboko yake ni Tulia Ackson tu.
Swali lako la kwanza, kawaulize wabunge.Lugumi hakukatiza kwenye Red Line ?
Vp wale wahujumu uchumi walipatiwa dhamana ma juzi ?
Lissu ni sheria na sheria ni Lissu! Nani avunje nini sasa?Mada zingine muangalie mahali pa kuandika.
Serikali yoyote Duniani huwa haimuogopi yoyote yule akiwa amevunja sheria.
Avunje sheria aone Serikali mnayosema inamuogopa itakapo mshughulikia