kabisa yaaniTena bora wewe ulipata
Unavyosema ni Bora kweli Ila unajua zimebaki siku Ngapi kwenda chuo Alafu ndio unapunguziwa hivyo WAKATI ulikuwa unatarajia Mamb yatakuwa Kama kawaidaTena bora wewe ulipata
Hapo mtu niliambatanisha mavyeti yote ya mhim pamoja Na cheti Cha kifo Cha mzee Sa sijui Yani wameona sifai auNgoja waje wakupe sababu za masingi
Ahsante mkuuDaah Pole mkuu najua inaumiza Sana unajiandaa kwenda Chuo alafu unakuta wamekupunguzia Allocation alafu mda umeisha ,Hii ndio Serikali ya Wanyonge
Lina ukweli kipindi Cha Corona walipunguza BoomNina mdogo wangu aliniambia mkopo wake tokea kipindi cha corona umepunguzwa. Hili lina ukweli kwa wale mnaopata mkopo ?
Ipo hivi unajua mtu mwaka wa kwanza na wapili ulipata Allocation Yako vizur sa mwaka wa tatu huu unajiandaa kwenda chuo BADO siku tatu unakuta Ada imepunguzwa na hela za stationary nazo wamechukua wanatarajia mtu atafanyaje kwa kipindi hiki kifupi hivi na ukiangalia sioni sababu ya kupungua maana Kama ni matokeo ni mazuri GPA IPO above 3.5 sasa tuseme hawana hela au Ndio nini .
wanajidai kusema kuwa wanaongeza kutoa mkopo kumbe kwa kupunguza zingine Ili wawape hao wanaoanza Daah hii Hali sio nzuri Maisha utaona machungu na ukiangalia hamna unapotegemea zaidi ya hiyo Boom nayo hata ukisema ulipie Ada haitoshi kabisa
hata mimi najaribu kuangalia sioni chochote kileMimi mbona nikitaka kuangalia allocation projection sioni chochote?,nielekeze please
Hiyo mi nimenagalia kwenye website ya Chuo wamewekaMimi mbona nikitaka kuangalia allocation projection sioni chochote?,nielekeze please
Sio poa yaniRichi kantri....
Sasa hivi vipi au bado punguzo linaendelea ?Lina ukweli kipindi Cha Corona walipunguza Boom