Serikali imlipe DC aliyetenguliwa

Mwache aisome namba, ccm ni ileile, tena yeye angalao wamemtoa kwa heshima kidogo aulize yule wa shinyanga
 
Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
Naona umeamua kujitokeza peupe kudai fidia
 
Alipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC

Nimekuelewa...lakini pamoja na yote ni obvious kuna tatizo...human errors ni kweli hutokea na inaweza kumpata mtu yeyote labda uwe malaika...lakini kwa suala hili la aliyekuwa ameteuliwa kuwa DC, kuna tatizo...haiwezekani kabisa majina ya ma-DC yakosewe kwa namna hiyo...unaweza ukakosea spelling laking siyo majina yote...Kuna kitu kimejificha, baadhi yetu tunazungumzia experience au uzoefu katika masuala haya...Ni wazi kulikuwa na majina mengi yaliyopendekezwa mengine yakachujwa na haya 139 ndiyo yakapitishwa .....lakini inakuwaje jina moja likosewe? Majina haya yanapita mikono mingi na lazima yahakikiwe...sasa ni kitu gani kimetokea? Mimi najiuliza maswali yafuatayo je, huyo Comrade aliyekuwa ameteuliwa alijulishwa mapema kuwa asije kwani kulikuwa na makosa?? Tuamini kuwa huyo aliyeteuliwa alifanya ubabe wa kuja licha ya kuambiwa?? Najiuliza hivyo baada ya kusoma humu JF kuwa kiongozi mmoja alimwambia Fulani tupishe...Hivi ni lugha gani hii ya kutumia kwa mtu ambaye assuming jina lake lilikosewa kwa bahati mbaya??? Kiutawala na kiuongozi na pia kiungwana na kiustaraabu kama kulikuwa na kosa lolote lilitokea ilibidi huyo Ndugu afuatwe kwa siri na kunong'onezwa ili aende pembeni yaani kwenye ofisi ya jirani na kuambiwa makosa yaliyotokea na kumuomba samahani na radhi....yaani hili lingefanyika bila wengine kwenye ukumbi kufahamu, huo ndiyo utendaji na uungwana na uongozi makini lakini siyo 'kupayuka' tu kwamba fulani tupishe (kama ni kweli yupo aliyesema hivyo).... Mimi naona lipo tatizo...baadhi yetu tunaipenda serikali yetu hii ya awamu ya tano, tunapenda kwa dhati hatua zinazochukuliwa katika kuirudisha katika mstari jamii yetu...Baadhi yetu tunampenda JPM kwa dhati...lakini inaelekea kuna baadhi ya watendaji ambao nadhani viatu vinawapwaya kiutendaji, na hili ni jambo baya mno...Mimi binafsi sipendi kabisa kuona yanatokea matukio yanayoitia doa serikali hii ambayo kwa hakika imerudisha matumaini ya wengi na hasa wanyonge na wazalendo wa dhati wa nchi hii... Kwa maoni yangu na ushauri wangu wahusika waweke wazi nini kilichotokea...yatolewe maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi nini kilichotokea kumhusu huyu ndugu aliyekuwa ameteuliwa kama ni kweli alikuwa ameteuliwa au laa...there should be a public statement about this issue to clear the air...na kama kweli kulikuwa na kosa katika uteuzi na akaitwa kwa makosa ni budi aombwe radhi, hili halina mjadala...na aliyesababisha hali hii achukuliwe hatua ili jambo kama hili lisijitokeze tena...lakini kama huyu Ndugu alivamia tu huko IKULU licha ya kuambiwa mapema kosa lililotokea then hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake....
 
Naona umeamua kujitokeza peupe kudai fidia
Nikikaa kimya nani atatoka kuwatetea wanyonge.? Kama kuna mtu yupo nyuma ya hili na kumfanya watu tumchukie Rais basi lazma atumbuliwe ile heshima irudi. Lakini wakituambia kuwa ni Makosa ya kiuandishi haiingii akilini.!
 
Alipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
Hata walioko magerezani wengi ni human errors, jambo la msingi ni kwamba mpaka sasa amefanyiwa pyschological torture wakati kosa si la kwake na kibaya zaidi waliokosea badala ya kuandaa mazingira rafiki kwa mwathirika wakaanza kumkejeli na kuonyesha dharau.
Kimsingi anatakiwa arudishiwe nauli, gharama za kula na kulala pamoja na mkono wa pole vinginevyo ataishi maisha ya shida kiasi kwamba hata kutembea mtaani kwao hatajisikia vema
 
Hata walioko magerezani wengi ni human errors, jambo la msingi ni kwamba mpaka sasa amefanyiwa pyschological torture wakati kosa si la kwake na kibaya zaidi waliokosea badala ya kuandaa mazingira rafiki kwa mwathirika wakaanza kumkejeli na kuonyesha dharau.
Kimsingi anatakiwa arudishiwe nauli, gharama za kula na kulala pamoja na mkono wa pole vinginevyo ataishi maisha ya shida kiasi kwamba hata kutembea mtaani kwao hatajisikia vema
Mimi binafsi zile dharau na kejeli ndo zinaniuma mpaka sasa,kiukweli anahitaji kutulizwa kisaikolojia ama anaweza akachukua maamuzi magumu hata ya kujiua.
 
Nimekuelewa...lakini pamoja na yote ni obvious kuna tatizo...human errors ni kweli hutokea na inaweza kumpata mtu yeyote labda uwe malaika...lakini kwa suala hili la aliyekuwa ameteuliwa kuwa DC, kuna tatizo...haiwezekani kabisa majina ya ma-DC yakosewe kwa namna hiyo...unaweza ukakosea spelling laking siyo majina yote...Kuna kitu kimejificha, baadhi yetu tunazungumzia experience na uzoefu katika masuala haya...Ni wazi kulikuwa na majina mengi yaliyopendekezwa mengine yakachujwa na haya 139 ndiyo yakapitishwa .....lakini inakuwaje jina moja likosewe? Majina haya yanapita mikono mingi na lazima yahakikiwe...sasa ni kitu gani kimetokea? Mimi najiuliza maswali yafuatayo je, huyo Comrade aliyekuwa ameteuliwa alijulishwa mapema kuwa asije kwani kulikuwa na makosa?? Tuamini kuwa huyo aliyeteuliwa alifanya ubabe wa kuja licha ya kuambiwa?? Najiuliza hivyo baada ya kusoma humu JF kuwa kiongozi mmoja alimwambia Fulani tupishe...Hivi ni lugha gani hii ya kutumia kwa mtu ambaye assuming jina lake lilikosewa kwa bahati mbaya??? Kiutawala na kiuongozi na pia kiungwana na kiustaraabu kama kulikuwa na kosa lolote lilitokea ilibidi huyo Ndugu afuatwe kwa siri na kunong'onezwa ili aende pembeni yaani kwenye ofisi ya jirani na kuambiwa makosa yaliyotokea na kumuomba samahani na radhi....yaani hili lingefanyika bila wengine kwenye ukumbi kufahamu, huo ndiyo utendaji na uungwana na uongozi makini lakini siyo 'kupayuka' tu kwamba fulani tupishe (kama ni kweli yupo aliyesema hivyo).... Mimi naona lipo tatizo...baadhi yetu tunaipenda serikali yetu hii ya awamu ya tano, tunapenda kwa dhati hatua zinazochukuliwa katika kuirudisha katika mstari jamii yetu...Baadhi yetu tunampenda JPM kwa dhati...lakini inaelekea kuna baadhi ya watendaji ambao nadhani viatu vinawapwaya kiutendaji, na hili ni jambo baya mno...Mimi binafsi sipendi kabisa kuona yanatokea matukio yanayoitia doa serikali hii ambayo kwa hakika imerudisha matumaini ya wengi na hasa wanyonge na wazalendo wa dhati wa nchi hii... Kwa maoni yangu na ushauri wangu wahusika waweke wazi nini kilichotokea...yatolewe maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi nini kilichotokea kumhusu huyu ndugu aliyekuwa ameteuliwa kama ni kweli alikuwa ameteuliwa au laa...there should be a public statement about this issue to clear the air...na kama kweli kulikuwa na kosa katika uteuzi na akaitwa kwa makosa ni budi aombwe radhi, hili halina mjadala...na aliyesababisha hali hii achukuliwe hatua ili jambo kama hili lisijitokeze tena...lakini kama huyu Ndugu alivamia tu huko IKULU licha ya kuambiwa mapema kosa lililotokea then hatua muafaka zichukuliwe dhidi yake....
Nimekuelewa sana Mkuu
 
Nadhani namna alivotolewa ndio imeleta shida zaidi. Angefutwa anong'onezwe na aombwe radhi kisha aombwe atoke mwenyewe taratibu bila kuwa na mtu nyuma kwa karibu ili ionekane kama kuna mahali tu anakwenda bila ya watu wengine kunotisi hilo. Kisha baada ya hapo ndio mengine yangefuta kama kumrudishia gharama zake.(Haya yote yangefanyika tu kimia kimia) ila umma ungetaarifiwa kuwa uteuzi wa ndugu X ulikuwa na kasoro na ulitenguliwa basi. Hivi ndivyo mambo yaivopaswa kufnyika. Ila kwa namna ulivofanyika dah inahuzunisha kwakweli na kisaikolojia inaathari kubwa sana kwake na familia yake. Mungu ni mwema hatuwezi jua kamuepusha na balaa gani kubwa zaidi so maisha yanaendelea.
well said
 
Despite of "good intentions" of JPM's Government I can't stop wondering where are "sadistic tendencies" going to send this nation to.
 
Ha ha ha nanilinhii alikurupuka... Huyu naniilinhi huyuu.... Huyu karani wa ikulu... Ni udhalilishaj wa hali ya juu kiukwel.. Aisee mzee wa watu amekua mdogo kma piriton... Hv alivorud home kwake mkewe na wanawe walimpokeaji... Kulipwa haitoshi.. Kiukwel aombwe radhi...
 
Back
Top Bottom