Serikali imlipe DC aliyetenguliwa

Serikali imlipe DC aliyetenguliwa

Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
Mmhh, too many questions
 
Alipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
rais alisema uteuzi wao ulikua makini na alipitia cv zao sasa human errors kivip? kamdharirisha sana
 
Namshauri aende mahakamani tu,udhalilishaji aliofanyiwa haukubaliiki katika jamii iliyostaarabika
Kwa kuwa IKULU ni taasisi kubwa jambo la kwanza wamwo radhi kwa usumbufu wa yeye na famiia yake pili aliyekosea jina na kusababisha Rais akosee awajibishwe.Kwani wakati wa Rais Kikwete yupo mtu aliwajibishwa kwa kosa la kumpeleka mkurugenzi wa halmashauri kupokea gari ya ambulance mtu ambaye hakuhitajika.
 
Mfalme Suleman alimwomba Mungu Hekima na Akili ya kutawala umma. Maamuzi ya kiongozi tu ni kipigo tosha kujua ana hekima au la.
 
Utawala bora hutawaliwa na Hekima na Busara, vitu kama si masters au Phd, ni ziada katika kuongoza watu wa kila aina......
 
Back
Top Bottom