biashara nimaelewano na faida
Mkuu Nyumbu ukiwa na ile decoder yao PVR(HD)ndio kabisaa umeumia 149000/=hawa jamaa hawajapata mpinzani wa kweli,muonekano wa ZUKU ni mzuri wakipata uwezo wa kuonyesha mpira live bei inaweza kupanda kidogo lakini si kufika bei za hawa wanyama DSTV.Ipo siku watajuta huwezi tamba milele.Kinachoudhi zaidi ni kwamba, channel zote nzuri za makala na uchambuzi kama BBC knowledge,History Channel, Crime & investigation zimewekwekwa kwenye bundle ya primium yaan Tzs 120,000/
Sasa kwa wengi wanaolipia hiyo premium bundle ni kwa ajiri ya mipira na kwenye mabaa. Hawangalii kabisa hizo channel. Badala ya kuziweka hata kwenye family package, maana hii iko kielimu zaidi, wameiweka kwenye bundle ya juu ambako wengi hawangalii! Hata ukiwaomba hawakusikilizi. Hivi tv si ni kwa ajili ya entertainment na Elimu? Hawa jamaa wanaudhi sana
aiseeee babaangu kwanza elewa itv and star tv si channel za kitaifa channel ya taifa ni tbc pekee ndio maana wapo dstv swala la itv kuwa kwenye dstv ni swala gumu sana coz itv haina vipindi au uchambuzi wa vitu muhimu we angalia habari zake za kimataifa wanataja vichwa vya habari bila maelezo ya kina ,,na swala la itv kuwa kwenye dstv ni swala la mmiliki kuongea na dstv na si serekali mkuu
karibu mkuu rombo upate mbege
Kinachoudhi zaidi ni kwamba, channel zote nzuri za makala na uchambuzi kama BBC knowledge,History Channel, Crime & investigation zimewekwekwa kwenye bundle ya primium yaan Tzs 120,000/
Sasa kwa wengi wanaolipia hiyo premium bundle ni kwa ajiri ya mipira na kwenye mabaa. Hawangalii kabisa hizo channel. Badala ya kuziweka hata kwenye family package, maana hii iko kielimu zaidi, wameiweka kwenye bundle ya juu ambako wengi hawangalii! Hata ukiwaomba hawakusikilizi. Hivi tv si ni kwa ajili ya entertainment na Elimu? Hawa jamaa wanaudhi sana
aiseeee babaangu kwanza elewa itv and star tv si channel za kitaifa channel ya taifa ni tbc pekee ndio maana wapo dstv swala la itv kuwa kwenye dstv ni swala gumu sana coz itv haina vipindi au uchambuzi wa vitu muhimu we angalia habari zake za kimataifa wanataja vichwa vya habari bila maelezo ya kina ,,na swala la itv kuwa kwenye dstv ni swala la mmiliki kuongea na dstv na si serekali mkuu
karibu mkuu rombo upate mbege
Ni kweli unachosema Mkuu lakini chetu ni chetu tusikidharau sana, tuwape moyo kwa mategemeo kwamba baadae wanaweza kuboresha.
Sasa ukiangalia hii tv ya serikali TBC ndio utaona vichekesho. Wanaonyesha hadi reception za harusi tena full![/QUOT
aiseeee mkuu 2mekosa vipindi vya kuonesha mpaka 2naonesha harusi za kifisadi
Mbona kwenye Zuku na Star times channel za home hapa zinaonekana vibaya yaani hata mtu wakimzoom haonekani hata sura.Why?
Hamjasema yale makubwa
bado. Hawa jamaa wanauza ving'amuzi kwa bei chafu bunge limeondoa ushuru
ili kuwanufaisha hawa manake badala ya kushusha bei wao wamepandisha
hadi Tshs 50,000/= halafu wanakupa king'amuzi ambacho wamekiprogram
kufanya kazi mwaka mmoja tu baada ya hapo hakileti picha tv inakwambia
no signal. Ukiwapelekea wanakwambia wanataka elfu arobaini kwa kuwa kime
overwarrant maneno ambayo ht sijui maana yake nini. Wakikosa mda wa
kukifungua wanakupigia simu utoe Tshs 50,000/= wakupe kingine manake cha
kwako body ime weak. Yani utapeli mtupu kila mwaka ununue king'amuzi na
kwa bei wanayotaka wao hata bunge lipige chafya vipi yani ni ufisadi
kwa kwenda mbele. Ila za mwizi ni arobaini manake zinatengenezwa mordem
za kufunga kwenye tv ambazo utatumia internet na kuangalia tv kwenye tv
yako kwa siku Ths 100/= au tshs 3,000/= kwa mwezi.
Mbona channels za kenya dstv zimejaa kibao k24 ktv ntv kbc citizen hata uganda kuna wbs na ubc sisi ndo tumelala doro 2. Yaani imesabababisha ninunue kin'gamuzi kingine aisee. Kwa hili dstv wananikwaza sana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tena basi, Dar ndo wanalipa bei kubwa kuliko miji yote Africa na Asia, tuna hela sana eeeh!