Msikate tamaa mtaajiriwa soon.Ila mkiajiriwa msianze kejeli kwa walimu wa Sayansi wenye vipindi vingi.walimu wa Sanaa kwa kejeli utakuta ana vipindi viwili kwa wiki anamkejeli mwenye vipindi 24 kuwa kwani nilikutuma usome sayansi? Una mavipindi mengi lakini mshahara sawa.