hatujasomea kusambaza barua!Nakushangaeni mnavyonitafsiri mnavyojua ninyi
Ajira ni tatizo dunia na watz wanajua hilo
Kikubwa ninyi wakufunzi mjitahidi kufikiri nje ya box
Mkienda kanada mnaweza kuwa mameneja wa supamaketi na kazi na kusambaza barua
Humu nchini mwenu hamzitaki hizo kazi mnataka kukaa ofisi haya endeleeni mkiambiwa nasema mbakejeliwa, sijafunzwa kukejeli watu mie
Usibishe kitu usichokijua!graduant[emoji735] graduate[emoji736] pia kujichokea kwenu sio kigezo cha serikali kuwaajili, jipange uje na hoja nzito
Hizi kilimo tumefanya saaana lakini hamna kitu zaidi tunachoshana tu na shauri za namna hii!Kwa serikali hii ya awamu hii kiukweli ukisema usubiri ajira ni kujidanganya!
Kikubwa ni kujitoa akili kufanya shughuli yoyote inayopatikana!
Mfano:
Nilienda kijijini huko Iringa mboga fungu moja tsh.500 na haipatikani.......
So hata ukiwa na bustani yako unavuna mafungu 100 tu kwa siku unauhakika itaisha!
NB: Siungi mkono serikali kutotoa ajira maana hamkawii kunishambulia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kasome dictionary mkuuMkuu
Tuwaombeee wakufunzi wetu
Kilimo changu ni chakiNenda ukalime .
Unaishi kijiji gani kwa sasaUkisoma lazima uajiriwe? Tuna furusa nyingi sana vijijini
Sitaki hizo kampuni zenu! Hizi ni porojo na kejeri kwa wasomi huku mkiwa mnaelewa wazi elimu ya bongo iko vipi
Tunataka serikali itoe ajira
Hujui unalojua!kipindi unasoma ulikuwa na takwimu zipi kuwa serikali haina walimu na je ni kweli kipindi unasoma kuna mkataba wowote ulioingia na serikali kwamba ukimaliza masomo yako ya sanaa itakuajili? kama hakuna mkataba wowote umesubiri nini kujiajiri!kumbika kwamba kipindi unasoma ulitafuta ada ukajisomesha wewe mwenyewe nakushauri tu kama ulivyotafuta ada tafuta hata mtaji uweze kujiajiri zama zimebadilika acha kelele
mkuu hapo tu ungemjibu hamna namna yoyote yeye kujiajiri?kama aliweza kupata ada anashindwaje kutafuta mtaji akajiajili au hata kwenda shule za private mbona naona wengi wanakomaa na wanapata salary nzuri, kwanza kabisa aache kuilaumu serikali najua kipindi anasoma hakuna mkataba wowote alioingia na serikali kwamba akimaliza masomo yake ya sanaa ingemwajili na takwimu alizonazo zakusema kwamba huko kwenye shule zakata hakuna walimu wakutosha naona anadanganya kama wasingekuwepo serikali isingeshindwa kumpatia ajira kama mtaalam wa sanaaSi comment kitu, ntarudi
Sawa mkuu basi subiri ajira za serikali mkuu kama uliogopa science!H
Hizi kilimo tumefanya saaana lakini hamna kitu zaidi tunachoshana tu na shauri za namna hii!
Tupewe ajira ndio suluhu
Sasa hapo mkuu ni kumpa jaribu huyo ndugu Mwalimu wa arts, Mtu amesoma Kiswahili leo hii ukamwambie aje na mpango kazi kwenye kampuni yako, huoni ni sawa na yule aliyekuwa anajaribu Urais halafu akajikuta anasukumiwa huko matokeo yake hata wewe ni Shahidi?Mkuu kwani mpaka serikali ikufanyie kitu ili hali wewe ni msomi na una uhakika na ulichokipata huko darasani?
Kupitia hiyo elimu yako huwezi fanya chochote mpaka upewe ajira na serikali?
Uje kwa kampuni yangu ntakupa nafasi
Lkn
Uje na mpango kazi ambao utaifanya kampuni itoke ilipo na iweze kukulipa we salary
Mpango kazi wako ukiwa unalipa kampuni itakuzawadia na kukupa ajira ya kudumu
Yani KISWAHILI kinadhalaulika Sana ila tambueni kuwa ndio lugha yenu ya taifa....Kuna watu ni PhD holder lakini wapatie hicho kingereza uone vituko....sizungumzii ajira hapa mana watetezi wa hii serilikali watakutoa macho walivyo naroho mbaya...Sasa hapo mkuu ni kumpa jaribu huyo ndugu Mwalimu wa arts, Mtu amesoma Kiswahili leo hii ukamwambie aje na mpango kazi kwenye kampuni yako, huoni ni sawa na yule aliyekuwa anajaribu Urais halafu akajikuta anasukumiwa huko matokeo yake hata wewe ni Shahidi?