Acha Ubaguzi kwani wewe no serikali aya mwalimu was sayansi subiri upewe ajira uku ukiwananga wenzio was artMasomo ya sayansi kwanza,walimu wa art
n weng ,kuna shule mwalimu mmoja kipnd kimoja kwa WK,hku sayansi vpnd 24 na zaid
Sitaki hizo kampuni zenu! Hizi ni porojo na kejeri kwa wasomi huku mkiwa mnaelewa wazi elimu ya bongo iko vipiMkuu kwani mpaka serikali ikufanyie kitu ili hali wewe ni msomi na una uhakika na ulichokipata huko darasani?
Kupitia hiyo elimu yako huwezi fanya chochote mpaka upewe ajira na serikali?
Uje kwa kampuni yangu ntakupa nafasi
Lkn
Uje na mpango kazi ambao utaifanya kampuni itoke ilipo na iweze kukulipa we salary
Mpango kazi wako ukiwa unalipa kampuni itakuzawadia na kukupa ajira ya kudumu
Mkuu sijakejeli MTU,Sitaki hizo kampuni zenu! Hizi ni porojo na kejeri kwa wasomi huku mkiwa mnaelewa wazi elimu ya bongo iko vipi
Tunataka serikali itoe ajira
Walimu lazima tuishe ni suala la serikali kuamua tu kwani uhitaji ni mkubwa kuliko walimu tuliopo mtaaniMkuu sijakejeli MTU,
Wajua vema kwqmba serikali hata ikitoa nafsi za ajira hamtaisha maana mko wengi,
Km una shida na ajira chukua propozo yangu
Ndio uhitaji ni mkubwa lkn Watawalipa nini?Walimu lazima tuishe ni suala la serikali kuamua tu kwani uhitaji ni mkubwa kuliko walimu tuliopo mtaani
Mkuu kwani mpaka serikali ikufanyie kitu ili hali wewe ni msomi na una uhakika na ulichokipata huko darasani?
Kupitia hiyo elimu yako huwezi fanya chochote mpaka upewe ajira na serikali?
Uje kwa kampuni yangu ntakupa nafasi
Lkn
Uje na mpango kazi ambao utaifanya kampuni itoke ilipo na iweze kukulipa we salary
Mpango kazi wako ukiwa unalipa kampuni itakuzawadia na kukupa ajira ya kudumu
Nakushangaeni mnavyonitafsiri mnavyojua ninyiNimekuchora coment yako kwenye uzi wangu fulani uvi afu nimepata na hii coment yako nimeanza kulinganisha doti nimegundua una tatzo kubwa sana pyschologically.....
Hili ni tatzo la Watanzania tuliowengi tunajifanya much knowers afu tunachukulia vitu kiuepesi uepesi na tuna amin tunachokiona kuliko tunachokijua ...
Nina wasi wasi na hyo kampuni unayodai unayo kwa akil zako za kuthathimni vitu kwa kikawaida na dharau nani kakudanganya elimu ya Tanzania inaweza kumjenga kijana katika self reliance education?
Au elimu ya kujitegemea?
Mfano mtu amesoma Ualimu hebu nambie ni kozi ipi ambayo inaweza kumjenga kijana katika elimu ya kujitegemea...
Acha kukalili na nilichora coment yako nikabaki nacheka tu
Mkuugraduant[emoji735] graduate[emoji736] pia kujichokea kwenu sio kigezo cha serikali kuwaajili, jipange uje na hoja nzito
Una mawazo mazuri ila tatzo haujatambua persuassion ya mawaz yako ndg...Nakushangaeni mnavyonitafsiri mnavyojua ninyi
Ajira ni tatizo dunia na watz wanajua hilo
Kikubwa ninyi wakufunzi mjitahidi kufikiri nje ya box
Mkienda kanada mnaweza kuwa mameneja wa supamaketi na kazi na kusambaza barua
Humu nchini mwenu hamzitaki hizo kazi mnataka kukaa ofisi haya endeleeni mkiambiwa nasema mbakejeliwa, sijafunzwa kukejeli watu mie
Msijali tutawatumia tena wakati wa uchaguzi mutusaidie kuiba kura. Kwasasa hatuwahitajiItapendeza zaidi ikisikika sauti toka kwa waziri wa elimu Ndalichako, Tamisemi Jafo, Utumishi na rais wa JMT sijui nani huko sitaki hata kumtaja jina!
Hii ni serikali ya ajabu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru 9/12/1961, itakumbukwa vizuri tangu 2015 serkali awamu ya tano iliposhika madaraka tumeshuhudia mambo mengi ikiwa ni kupunguza watumishi wa umma na wengi wametokea kada ya elimu ambao ni walimu hasa wa masomo ya sanaa
Kinachoshangaza shule nyingi hazina walimu wa kutosha huku serikali ikijifanya hailioni tatizo la upungufu wa walimu katika shule hizi nyingi zikiwa za kata na zinapatikana huko vijijini ndani.
Napenda kuwakumbusha tu ninyi wenye dhamana ya kututoa huku mtaani bila kazi
Tumejaa sasa tupo batch 3, 2015, 16na 17!
Serikali mnampango gani na sisi graduate hasa walimu wa masomo ya arts?
Mbaya zaidi graduants wenyewe wamejichokea na kukata tamaa hata nyuzi zinazoistua serikali hapa jamvini ni nadra sana kuonekana!
Chondechonde tusikate tamaa tuungane tupambane tupewe ajira zetu
Nawakumbusha tupo
Hatulaumu ila tunataka ajira!Ndio uhitaji ni mkubwa lkn Watawalipa nini?
Mnatakiwa mjiongeze buana acheni kulaumu kila kitu
Wengine wanacoment waonekane tu!Nimekuchora coment yako kwenye uzi wangu fulani hivi afu nimepata na hii coment yako nimeanza kulinganisha doti nimegundua una tatzo kubwa sana pyschologically.....
Hili ni tatzo la Watanzania tuliowengi tunajifanya much knowers alafu tunachukulia vitu kiuepesi uepesi na tunaamini tunachokiona kuliko tunachokijua ...
Nina wasi wasi na hiyo kampuni unayodai unayo kwa akil zako za kuthathimni vitu kwa kikawaida na dharau nani kakudanganya elimu ya Tanzania inaweza kumjenga kijana katika self reliance education?
Au elimu ya kujitegemea?
Mfano mtu amesoma Ualimu hebu nambie ni kozi ipi ambayo inaweza kumjenga kijana katika elimu ya kujitegemea...
Acha kukalili na nilichora coment yako nikabaki nacheka tu