Nawe Unadhani Bei zitakuwa hizi hizi?unafkiri ikibinafsishwa kuna atakae baki kwenye uongozi wa tanesco?
Hujiulizi kwann umeme wa sollar ukiunganishiwa na Yale makampuni binafsi ni gharama kubwa kuliko umeme wa Tanesco?
Muhimu ni viongozi wabovu watimuliwe, RUSHWA idhibitiwe nupate ufanisi zaidi ya hapa tulipo,
Bt kamwe Tanesco haitabinafsishwa ni hatari Kwa USALAMA wa Nchi.