Nadhani hukunielewa lakini iko hivi unapoendesha gari ya gia na ukapanda mlima huanzi kupanda na gia no moja kwakuwa ikifeli katikati ya mlima umekwisha hivyo unatakiwa kuanza kupanda na gia ndogo ili ikifeli kuna backupHuo mgawanyo wa madaraka ndo umetufikisha hapa tulipo
Hatuzungumzii chama hapa hata hao ukawa lait kama wangefanya hivyo kwa haraka mno wangelaumiwa.Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??
Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??
Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
Ukiambiwa kuna watu wanaweza kuja kupinga hata reply ya namna hii...! Kweli hatufananiMagufuli rais wangu,mambo ufanyika kwa mipango na sio matamko,kwani wakati budget inapangwa hichi kitu hakikuwwpo!ebu tufanye kazi kwa mipangilio na si kuamka asubuhi na kutoa matamko.Anyway all the best Magufuli tunakuombea ila ujue hata Mungu akujenga dunia kwa siku moja alipanga na kuji evaluate ndipo alipoendeleo na hatua nyingine.Dodoma serekali itaamia ila kwa mpangilio jamani
Mwenye akiri timamu hawezi kupinga kuhamia Dodoma, je ni kwa style gani? Na muda gani? mwenye akiri timamu hawezi kupinga adhabu kwa mtoto aliyeiba hela za jirani na kwenda kula vitumbua lakini je ni adhabu gani unampa huyo mtoto , hivi ni kweli umuunguze mikono na miguu na useme ndio adhabu inayomfaa halafu akitokea mtu akamtetea huyo mtoto na wewe unamuona huyo mtu hana akili.Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??
Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??
Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
Mkuu wewe mwimba kwenye kidonda kibichi.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa hiyo nyie chadema hata hili la kuhamia Dodoma mnalipinga ??
Nakumbuka Mbowe na Lowasa wakati wakiomba kura Dodoma waliahidi serikali ya UKAWA itahamia Dodoma haraka Mara tu baada ya kuapishwa.
Je mlikuwa mnawadanganya watanzania??
Kwa unafiki wenu huu mnafaa kweli kuongoza hata mtaa??
Hongera hujamrudishia maneno magumumagumu kweli hekima kitu cha bure hakiuzwi dukani!Umesoma kwa makini nilichoandika lakini? Au umekurupuka tuu?
Duu chukua muda basi uandike vizuri haraka za nini?Mijitu mingine bwana yaani kuamia dodoma kuna shida ganj hata kesho
Kuhamia Dodoma si ugonjwa wala kwenda kichakani hata Kama watahamia Leo hakuna shida kwani wizara zote wana ofisi Dodoma kipindi kirefu na wanaweza kufanya kazi Kwa mtandao Kama bank zinavyofanya kazi, Malawi, Nigeria, India , Brazil nk walihamia miji mipya pasipo kukamilisha Kila kitu wakajiimarisha wakiwa huko huko na baadhi ya wizara na ofisi za balozi zipo miji ya zamani na maisha yameendelea , changamoto lazima ziwepo lakini lazima serikali wahamie Dodoma kulipisha jiji la Dar kujijenga Kwa kasi pia itasaidia kusambaza maendeleo mikoani .
Naomba unielewe tena nilichoandika, sipingani na wazo la kuhamia Dodoma hata maramoja, nazungumzia mkakati na mipango yenye kueleweka na si kukurupukaWaziri mkuu kuhamia Dodoma hata kesho ni sawa tu. Ofisi ya Waziri mkuu Dodoma ina miundo mbinu mikubwa na bora kuliko ile ya DSM. Hakuna shida juu ya hilo aende tu. Pia hata wizara ya Nishati na madini haiko kiwango cha chini, miundo mbinu imeboreshwa na inaendelea kuboreshwa, hivyo hata mheshimiwa Muhongo anaweza kuhamia hata kesho. Yaliyo baki anaweza kuyaweka sawa akiwa hukohuko.
Zipo taasi nyingi zimeboresha miundo mbinu yake Dodoma. Hivyo kuhamia ni suala la maamuzi tu. Rais hajakurupuka, waziri mkuu hajakurupuka, waende tu. Hakuna sababu za kuwazuia.
Mkumbuke hawa wote sio wageni Dodoma, Ila sisi watanzania hatuijui Dodoma. Dodoma ya Nyerere ni tofauti kabisa na hii Dodoma tunayoizungumza Leo.
Naomba unielewe tena nilichoandika, sipingani na wazo la kuhamia Dodoma hata maramoja, nazungumzia mkakati na mipango yenye kueleweka na si kukurupuka
Umezungumzia kuhusu wizara tu lakini kumbuka kuna mengi hapo
-majeshi
-Vyombo vya ulinzi na usalama
-miundombinu yote hasa airport
Kikubwa kuliko yote ni gharama ambayo haitajwi popote, kumbuka unahamisha makao ya nchi na si familia
Ili mambo yasiyumbe kuwe na mkakati madhubuti kwenye hili sio kwakuwa Magu kasema basi kila mtu alipuke kusema anahama siku fulani
Iundwe task force ya wataalam wa kila sekta ambao watapanga uhamisho huo
Kwamba 2017 zitahama wizara hizi, 2018 2019 hivyo hivyo
BTW uamuzi huu wa sasa ni wa baraza la mawaziri au umepitishwa na bunge lipi?