Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,168
Wengine wanataka kila siku wawe wao tu ndio wako kwenye usukuni. Wakikaa pembeni wanaona nongwa. Wanasahau kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwishoSiku hizi JF tuna shida kubwa; sasa hapa ndio umesema nini kwa hadhira yako?
Mnatupa wakati mgumu kuelewa mmeandika kitu gani.
Yes 4 stars General Balele amewahi kuwa Dr. huko Lugalo na pia kuwa Mkuu wa Mikoa fulani.
Hizo ni facts sasa kusema sijui katengwa mbona hujasema katengwa ki vipi? Hapati haki zake au ni nini?