Serikali imemtenga Brg Gen Balele

Serikali imemtenga Brg Gen Balele

Sina mengi ya kuongea sababu ulichokisema umeniwakilisha nami kwanza utengwaji hajauweka wazi kwa kweli tuna shida sana na uwasilishaji wa vitu haihitaji uwe mwandishi ndio utoe khabari nzuri kwa mada kama hii

Ikiwa elimu yenyewe ni ya kuungaunga unategemea mtu aweze kuwasilisha mawazo yake wenzake wakamwelewa? Yeye anadhani hapa JF ni sawa na kule kijiweni kwao ambako chochote tu unaweza kuongea hata kama hakina mashiko. Pia, anapokomaa kwamba huyo Brigedia akumbukwe kwani si ameshastaafu? Nchi hii mbona ina watu wengi tu wenye elimu na weledi kwanini tunakomalia wastaafu tu?!!!!
 
WENZAKE WALOSTAFU HAWATAKI KERO WANAKULA PENSHEN WE UNAMTAKIA KIFO CHA GAFLA.BY THE WAY YEYE NDO ANA MD PEKEYAKE AU NI BRIGEDIA PEKEYAKE? AU ANA UWEZO KULIKO WOTE TPDF,WHAT SO SPECIAL TO HIM?NA KM YEYE ALIFANYA MAPINDUZI YA KIMAENDELEO JE ALIWAANDAA WANGAPI KUSHIKA NAFASI YAKE? BAADA YA YEYE KUSTAFA AU IKITOKEA KAFA KABLA YA KUSTAFU. TANZANIA TUNAHITAJI WATU WANAO RITHISHA UTAAALAMU KWA VIZAZI ILI TUWE NA MACHAGUZI NA PIA SPEA INAPOTOKEA AMETUTOKA
 
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.

Ngoja Mkuu akipitia humu atajibu maombi ama kufikiria vinginevyo
 
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.
MTU akilazwa hospitali kama Lugalo katelekezwa?Mnataka Magufuli au Mwamnyange alale naye wodini kummwuuguza ndio mjue wanamjali au nini?
 
Shigongo mwenyewe alishukuriwa kwa kupewa maji madogo ya kilimanjaro.
 
Mkuu unaweza ukawa na pointi ya maana ila sasa hauleweki. Jambo linalolisoma ni LAWAMA tu.
Hasa ulitaka kusema nini ili tuchangie ? Na
AMETENGWAJE?
Hapo itatusaidia.
Hivi nyinyi kama wewe huwa mmesoma madarasa mangapi hadi msielewe ama hamkusoma hata comprehension?
 
Hivi nyinyi kama wewe huwa mmesoma madarasa mangapi hadi msielewe ama hamkusoma hata comprehension?
Tulichunga ng'ombe wengine mkuu wakati wewe UKISOMA TUSAMEHE!

Hata hilo neno uliloandika COMPRESHEN ama COMPULIHESHENI ni geni kwangu!!! SIKUSOMA
Wee ni MSOMI nisaidie.Hilo neno linamaanisha nini?
Shule ILITUPIGA CHENGA.
Hongera kutokana na MADARASA yako MENGI!
 
Yohana Balele.....alinifanyia interview moja hivi miaka 7 iliyopita akiwa Mkuu Wa Mkoa Shinyanga......anastahili ni kiongozi makini.
 
Bururu akimtetea Balele.
Acha Balele aisome bana...
 
Brig ni One star General.....sasa hasemi amesahaulika kivipi??
Au labda teuzi za awamu ya 5?? Baada kuwaona wanajeshi kibao wameteuliwa? Jamani ni umri pia......umeshampita apumzike imetosha
 
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.
Kwani kigezo hicho mbona ni wengi waliotengwa?
 
Mkuu Kimbunga nadhani umeteleza kama Balele alikuwa Brg Gen basi ni one star general si four star Gen.Brg Gen ni one star Gen,Major Gen ni two star Gen,Lt Gen ni three star Gen na General ni four star Gen.Hapa Tanzania four star General ni wakuu wa majeshi CDF,four star General ambaye hakuwa CDF ni General Tumainiel Kiwelu huyu alikuwa Chief of Staff wenzake wote waliishia three star General (Lt General).
Mkuu samahani sana. Nilikuwa nina maana ya 1 star general lakini akili na vidole vikawa havisomani. Hizo ni anga zangu kaka. Hiyo ya Kiwelu ilikuwa ni ya kipekee manake katika jeshi letu utamaduni umekuwa kwamba kunakuwa na one four star general at a time na ndio anakuwa CDF
 
Siku hizi JF tuna shida kubwa; sasa hapa ndio umesema nini kwa hadhira yako?

Mnatupa wakati mgumu kuelewa mmeandika kitu gani.

Yes 4 stars General Balele amewahi kuwa Dr. huko Lugalo na pia kuwa Mkuu wa Mikoa fulani.

Hizo ni facts sasa kusema sijui katengwa mbona hujasema katengwa ki vipi? Hapati haki zake au ni nini?
Mada za wapambe hizo. Usiumize kichwa.
 
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu, kupigana vita Uganga, Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo, Kubadilisha Elimu Mkoa wa Shinyanga, Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa, lakini Serikali ya awamu ya 4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya 5 pia kuendelea na ‘Ban’ kwa huyu muheshimiwa.

Kweli tenda wema nenda zako, wanafiki ndio wajaliwao.

Inasikitisha sana.

Kwa kukusaidia tu ni kwamba kuna Watu hapa nchini Tanzania wamefanya Kazi kubwa, za maana na zingine hadi hata za Kuhatarisha Maisha yao ila hawalalamiki isipokuwa wanashukuru tu kuwa na Wao wamekuwa ni sehemu ya Kuijenga Tanzania hii ila sasa wamepumzika na wamewaachia wengine nao Kuijenga. Hivi Kila Mtu akisema ajitokeze na Kujitangaza kuwa ameifanyia Jambo kubwa Tanzania tutafika kweli? Na itakuwaje? Mwisho labda kupitia tu huu Uzi wako niwashauri wengine kuwa wahakikishe wanapokuwa katika Nafasi basi wazitumie vyema huku wakiwaza zaidi katika ' Kuwekeza ' ili hata Wakistaafu basi waweze kuwa na Vitega Uchumi vyao ambavyo vitawafanya waendelee Kuishi maisha mazuri tu kuliko Kutegemea ' Mbeleko ' ya Serikali zilipo Madarakani ambazo nyingi huwa zinakuwa na Malengo yake pamoja na Vipaumbele vyake.
 
Back
Top Bottom