Bururu
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 877
- 585
Pamoja na kuitumikia Serikali kwa muda mrefu, kupigana vita Uganga, Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo, Kubadilisha Elimu Mkoa wa Shinyanga, Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa, lakini Serikali ya awamu ya 4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya 5 pia kuendelea na ‘Ban’ kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako, wanafiki ndio wajaliwao.
Inasikitisha sana.
Kweli tenda wema nenda zako, wanafiki ndio wajaliwao.
Inasikitisha sana.

