Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,152
- 5,663
Kama wameshindwa tu kujuwa ubora wa hizo chanjo, unazan wataweza kujua ip feki, ip og? hil jambo linaendeshwa kisiasa, yaan wanasiasa ndyo wamekwapua jukumu la madaktari na kujikuta wasemaji wakuu wa tiba&chanjo, usitegemee lolote lile zaid ya siasa zao za kuwafariji in positive way only, wao wanatetea matumbo yao tu huku wataalamu wakilazimishwa kufuata maneno ya hawa wanasiasa na kujikuta nao wanakuwa watos matamko kama ya wanasiasa ya kupromote chanjo bila kuhoji wala kuitest ubora... ushenz huu utaicost hii nchi pale watu watakapoanza kupukutika kama mende , subirini tuu, ipo siku wataelewa tu