miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
sidhani mkuu na ikiwahusu labda wateelewaSidhani kama wale waliokunywa maji ya magagulo ya zidumu fikra za m/ kiti wa chama hii itawahusu
sidhani mkuu na ikiwahusu labda wateelewaSidhani kama wale waliokunywa maji ya magagulo ya zidumu fikra za m/ kiti wa chama hii itawahusu
Tatzo akili zake ndog Sana.Sindo maana wanatumia njia fupi,kuua upinzani , na yeyote anayedhibiti mianya yao ya uhujumu,kama wadhibiti ujangili Mbeya na Arusha.sasa sio siri tena,nguvu kubwa inatumika kujilinda dhidi ya raslimali za nchi,ili wahujumu zaidi,na kwa wepesi.vilaza na mabashite ndo wanafaa kwa kazi hizi,ndo sababu wamejazwa serikalini.wao wanajali matumbo yatu,na si vinginevyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna raha sana, kufanya biashara apa Tanzania. Maana kuna magepu makubwa ya kukwepa kodi, ndio maana wafanyabiashara wengi apa Tanzania. Wanafanya biashara baada ya mwaka kashakuwa na faida Mara nne. Ndio TRA wanajua michezo yote inayofanywa na wafanyabiashara. Kwa iyo kama ni mfanyabiashara apa Tanzania, uchezi faulo imekula kwako nakwambia imekula kwako, Lazima faulo ucheze kwa apa Tanzania, maana mifumo mingi ya malipo aiingiliani. Ivi kama unafanya biashara apa Tanzania unalialia uwezi kufanya biashara nchi yoyote apa duniani. Mfano mzuri angalia wale machinga walivyo mwaga vitu chini, nguo za kila aina na hawana kodi yoyote wanayolipa, sasa wewe nenda chukua fremu weka nguo Lazima ufirisike. Tanzania bado tupo nyuma katika ishu nyingi na ndio maana wafanyabiashara wajanja wanatoka sana. Wanaolia lia wengi, wanafanya biashara bila kuangalia duniani kukoje.hii ni nchi ya amani, watanunua tu, hamna namna, ukipinga utaonekana mchochezi, unapinga maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hawa watu wamezid nasubiri hiyo barua inifikie kwa maandishi na nitaidai TRA waniandikie barua kunitaka kununua mashine nyingine, bila barua ya kunitaka kununua mashine nyingine sinunui ng,o hiyo EFD mpya na nitawaomba wanipe hata tamko la TRA mkoa au wilaya kwa maandishi halafu baada ya hapo nijiandae zangu kupanda kizimban huku nikiwa na nyaraka za manunuzi ya mashine za awali na vielelezo vingine ya suppliers wao walio waamini wao ili watuuzie mashine hizo walio tuelekeza wao wenyewe TRA maana huu sasa ni uendawazimu ulio tukuka sana wasitufanye sisi wajinga kwa kila jambo.Imefika wakati wakuonesha ujasiri wetu,ikiwezekana tufe tukidai haki zetu.. Wafanyabiashara wenzangu 800,000/= Tshs ni kubwa sana na inatosha kuendesha mahitaji ya familia zetu kwa siku kadhaa. Ni heri kuweka mgomo katika hili na ikiwezekana tufunge maduka yetu wale wote tutakaoguswa na hii kitu..
Umoja ni nguvu ndugu zangu. Tutaonewa mpaka lini?